Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Hello wana Jf team,
Naomba kuuliza mwenye kujua hospitalI wanayofanya operation ya kuondoa mtoto jicho please naomba mnijuze, sio KCMC lakini maana bei zao zinaua ni 500,000 kwa jicho moja.
Msaada please.