Uvimbe mguuni msaada tafadhali

Uvimbe mguuni msaada tafadhali

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Ndugu habari za leo, nimekuwa naishi na kipele mguuni kwa muda mrefu, kimekaa kama kijipu, kwa muda mrefu. Baada ya kuishi na hali hiyo toka 2006, hivi karibuni kumekuwa na tabia ya kunipa maumivu yenye asili ya kama kuchoma sindano kwa muda mfupi na kuacha.

Nimepanga kwenda hospitali Ijumaa hii kwani nitakuwa free. Nilikuwa naomba elimu yenu kama kuna mtu ana ufahamu na hali hiyo, naomba kuwakilisha.
 
Pole mkuu kama hautojali weka picha ili iwe rahisi kukushauri. Upele huwa na muonekano tofauti kutokana na aina ya ugojwa
 
Ndugu habari za leo, nimekuwa naishi na kipele mguuni kwa muda mrefu, kimekaa kama kijipu, kwa muda mrefu. Baada ya kuishi na hali hiyo toka 2006, hivi karibuni kumekuwa na tabia ya kunipa maumivu yenye asili ya kama kuchoma sindano kwa muda mfupi na kuacha.

Nimepanga kwenda hospitali Ijumaa hii kwani nitakuwa free. Nilikuwa naomba elimu yenu kama kuna mtu ana ufahamu na hali hiyo, naomba kuwakilisha.
Toka 2006? Na bado unasema utaenda hospitali ijumaa kama ukiwa free?
Huyo ni dalili ya Kansa na unavyodharau utapoteza mguu.
 
Back
Top Bottom