Msaada: Rafiki yangu ametokewa na kinyama puani

Msaada: Rafiki yangu ametokewa na kinyama puani

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,598
Rafiki yangu katokewa na kinyama hicho puani mwenye kujua atusaidie aende wapi akatibiwe apone
308c206b-d038-46cc-9b0c-3a75d14128c0.jpg
 
solution ni kukata tuu hamna namna. Aende hospitali
 
Inaitwa Nasal Polyps aina ya Antrochoanal.

Husababishwa na allergy, matibabu yake aende hospital atapewa spray ya kupulizia na kama haitamsaidia basi itabidi afanyiwe upasuaji.

Mpe pole sana.
 
Inaitwa Nasal Polyps aina ya Antrochoanal.

Husababishwa na allergy, matibabu yake aende hospital atapewa spray ya kupulizia na kama haitamsaidia basi itabidi afanyiwe upasuaji.

Mpe pole sana.

Shukrani sanaa kwa ushauri mzuri
 
Mpe Pole sana rafiki yako.
Sina la kushauri zaidi ya kumpeleka hospital.
 
Back
Top Bottom