Hivi mwenye kigugumizi huwa anasahau neno analo tamka? Au huwa hawezi kulimalizia kwa muda huo na kwa haraka
Mfano mwenye kigugumizi kutamka neno "UNASIKIA" yeye huanza u u u u u nasikia, hua...
Sina sababu ya kujiapiza. Maisha yangu siku zote naona fahari kuwasaidia binadamu wenzangu. Sisi binadamu ni viumbe dhaifu sana. Ukitoa utashi tuliojaaliwa sisi si kitu mbele ya wanyama kama...
Wakuu kila nikifua mara nyingi hutokea haya magamba mfano wa yale ambayo yanaota baada ya kubangua korosho lakini haya malaini laini.
Naepukaje hali hii maana inakeraga sana muda mwingine.
Picha...
Habari wanajukwaa
Jamani nimeona ni vema nikaja kuuliza humu nipate kufahamu.
Siku za karibuni nimekuwa na tabia ambayo ishakuwa sugu ya kunywa hichi kinywaji cha DRAGON kwa zaidi ya tatu kwa...
Kuna wanaume ambao huwa wanatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ambayo kiafya sio nzuri kwani inasemekana wengi huishia kuwa mzigo kwa wake zao/ wapenzi wao kwa kuwa jogoo hapandi!!
Kama wewe...
Ndugu zangu wataalamu wa Afya, naomba ushauri juu ya maziwa yanayofaa kwa mtoto mwenye umri wa siku 84
Mke wangu amemaliza likizo ya uzazi, na hivyo kuanzia Jumatatu ataanza kuingia office...
Habari za wakati huu wakuu, natumaini sote humu ni wazima wa afya, na kama kuna ambao labda hali zao kiafya sio njema Mungu awasaidie ili muweze kupata unafuu.
Nimeamua niandike huu uzi nikiwa na...
Habari wana jamvi poleni na majukumu
Kwanza niombe nipate msaada kidogo ili nikamilishe research yangu kulinda kazi za watu
Kwanza kabsa nimepewa kazi ya kufanya utafiti ili kufahamu mwanamke...
Sausages kill, new study warnsWhile Tanzanians are getting increasingly fond of sausages, a recent research has linked them with early deaths from cancer and heart diseases.People who regularly...
Habar za mida wakuu,
Binafsi huwa napenda kila Mwisho wa mwaka kufanya full body check up.
Naangalia mwili wangu unahitaji nini.
Naangali sukari mwilin.
Naangalia sumu ikoje mwilini.
Damu...
Habari, Nina imani kila mwanamke anapenda kuitwa mama na mwanaume anapenda kuitwa baba kwakuwa ni jambo la kheri nina imani pia sijakosea kulileta hapa.
Jf ni mjumuiko wa watu wengi na wenye elimu...
Mke wangu ni mjamzito wa miezi 6 kuelekea 7. Jana ameenda kupima damu majibu yamekuja ana damu 7.5 na wakasema ni ndogo sana ni hatari kwa maisha yake. Leo amepeleka majibu hayo cliniki, kwanza...
Binti yangu amemaliza Form 4 mwaka jana. Sasa hivi amepata mimba halafu tukimuuliza hiyo mimba ni ya nani, anasema alipokuwa period alipewa pedi na rafiki yake baada yakutumia akajikuta ana mimba...
Mke wangu ni mjamzito wa miezi 10 hivi sasaa...Yaani amepita tarehe yake ya makadirio jana tarehe 29.
Cha ajabu ni yeye kutohisi chochote.Ni juzi tar 27 kama sikosei ndio alianza kutokwa na maji...
Habari zenu wakuu ninaomba muongozo nina mdogo wangu ana ujauzito wa wiki 40. Anapata maumivu makali chini ya kitovu na nyuma kwenye nyonga kama dalili za uchungu Ila ni usiku tu.
Halafu hiyo...
Jamani, mimi nina tatizo la kutokuota nywele kichwani katika baadhi ya maeneo na nywele zinakuwa zikichomoka au zinaota zikiwa dhaifu sana hadi sasa ni mwaka mmoja tangu tatizo limeanza, katika...
Hapo zamani wazee wetu walikuwa hawajui haya mambo ya tiba za kisasa wengi wao wao walikuwa wanajitibia kienyeji sana na wala hawakuwa wanasumbuka. Kama mfano mtu aliyevunjika alitibiwa kienyeji...