Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

naomba kuwasalimia na kuwatakia heri na baraka mwaka jana mke wangu alijifungua kwa njia ya upasuaji hospitali ya serikali, kwa maelezo yake miezi mitano baadae aliniambia madaktari walimwambia...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Napenda kujua nini hutokea pale ambapo mwanamke hukadiriwa kuwa atajifungua tarehe fulani kulingana na uhalisia halisi wa siku ya mwisho kuingia MP, lakini siku ikifika inakuwa tofauti (hajifungui).
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa na tatizo hili kwa muda sasa, huwa linakuja na kuondoka lakini kwasasa naona linataka kuwa sugu. Kuna wakati nikiwa nimelala tu usiku basi misuli inakaza kwa nguvu na kuleta maumivu...
0 Reactions
15 Replies
54K Views
Habari! Kutokana na title inavyojieleza hapo juu, nahitaji kufahamu hospital ya masikio hapa jijini Dar ambayo inapima kwa usahihi na kugawa vifaa vya usikivu ili kuongeza uwezo wa kusikia. Maana...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari, wadau naomba ushauri wa vidonge vizuri vya (calcium supplements). Nina tatizo mfupa wa mguu ulivunjika. Nataka calcium ili kusaidia kuunga faster. Balanced diet najitahidi kula...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Wadau nasumbuliwa na Tatizo la Maumivu ya Pingiri za Uti wa mgongo kuanzia kwenye Kiuno pingiri S1,L5,L5 kipimo cha MRI kimeonyesha jle Ute umeisha na pingiri kidogo zimekuwa Bulge Disk na...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Ni dawa gani, itanisaidia nishan'goa Sana, meno yataisha Kama kuna dawa inafahamika nisaidiwee nitanunua kwa gharama Yoyote
1 Reactions
60 Replies
58K Views
Habari wakuu , natumai ni wazima was afya, naombeni msaada ya tatizo hili yapata mwaka na nusu sasa na tatizo la kuwashwa au kuchinyota nyia ya haja kubwa , ngozi ya mwili kuwasha , kusikia njaa...
0 Reactions
2 Replies
711 Views
Habari za mida, natumaini wote mpo sawa mnaendelea vzr na majukumu ya ujenzi wa nchi. Ndugu zangu juzi nimepata bahati mbaya ya kufiwa na mwanangu niliemzaa akiwa na miezi 6 tu. Naumia sana...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Magonjwa yanayosababishwa na hiv/aids ni Yale Yale tunayoumwa kawaida kila kukicha Swali ni Je unajuaje kama hii sio homa ya kawaida au malaria ya kawaida bali ni dalili za HIV? au hizi tezi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Samahani naomba kujua ni dawa ipi ya kutibu Malaria inayoruhusiwa kutumiwa na Mama anayenyoshesha? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wanajamvi natafuta suppliment hii kwenye picha. Kama una information zozote inakopatikana tafadhali njoo PM tuzungumze. Nahitaji haraka iwezekanavyo
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Watalaamu nipo kwenye dozi ya TB ila sasa imepita wiki mbili sijawahi kulala kabisa mpaka nahisi kichwa kinaanza kuelemewa na kuzidiwa na usingizi ninao mwingi sana. Ila nikiwa kitandani nikisema...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu. Ndugu yenu ninasumbuliwa na hali ambayo siielewi hivyo kama kuna mtu amewahi kupitia changamoto kama hii anipe muongozo. Mimi ni jinsia ME Umri 33. Ninapokuwa na ratiba mpya...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Baada ya kupitia maandiko kadhaa, nimejifunza kuwa mwanamke aki-conceive mwezi unaofuatia katika mzunguko wake ata bleed kama kawaida!!(sina uhakika kama ni wote)
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu. Ni muda mrefu sasa tatizo hili (headache) linanisumbu, yaani huwa kinaniuma sana hasa nikitembea kipindi cha jua likiwa normal au kali. Ukizingatia na Dar yetu kipindi hichi cha jua...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mpenzi wangu anasumbuliwa na fangasi na tumejaribu dawa mbalimbali lakini imekuwa ikimrudia mara kwa mara. Mara ya mwisho tumetumia Cotrimazole ya kupachika lakini hali ya kuwashwa ukeni naona...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mama ambaye amejifungua mara ya kwanza anaweza kuhitaji msaada katika kunyonyesha. Msaidie ili aweze kuwa mtulivu na makini kwa kazi hiyo. Msaidie kwa kutumia mablanketi na miito ili aweze kukaa...
2 Reactions
394 Replies
109K Views
Hello, Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-. Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan Hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni...
26 Reactions
499 Replies
57K Views
Nina maumivu makali ya misuli shingo kukakamaa na mabegani mpaka saivi maumivi yamesambaa mpaka mikononi na mgongoni maumivi makali nina zaid ya miezi mi3 msaada jamani nishafanya vipimo vingi na...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom