Mwanamke anaanza kusquirt huwa ni hali inayoanza akiwa na umri gani?

Sic March

JF-Expert Member
Mar 2, 2019
690
895
Habari wana jamvi poleni na majukumu

Kwanza niombe nipate msaada kidogo ili nikamilishe research yangu kulinda kazi za watu

Kwanza kabsa nimepewa kazi ya kufanya utafiti ili kufahamu mwanamke anaanza kusquirt mpaka kutoa yale maji maji huwa ni hali inayoanza akiwa na umri gan

Mim n mwanaume na hyo kazi n ya ofisi kwahyo msaada na mawazo yako n bora kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hiyo risechi yako haina research methodology? Au unaamua Tu kwenda hovyo hovyo?
Habari wana jamvi poleni na majukumu

Kwanza niombe nipate msaada kidogo ili nikamilishe research yangu kulinda kazi za watu

Kwanza kabsa nimepewa kazi ya kufanya utafiti ili kufahamu mwanamke anaanza kusquirt mpaka kutoa yale maji maji huwa ni hali inayoanza akiwa na umri gan

Mim n mwanaume na hyo kazi n ya ofisi kwahyo msaada na mawazo yako n bora kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka hela mezani member tuingie mtaani kusaka vibinti vya kucheki kusquirt

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Umenikumbusha mpenzi wangu huyo kila siku nilikuwa nampania nimkojeleshe lakini wapi... Adi nikawa najihisi aibu, ila yeye alikuwa na mapenzi na mimi na alikuwa akinisifia sana ... Tatizo nikifikiria sijawai kumfanya a-squirt dah nilijihisi sijakamilika

Sasa sijui ilikuwa ni kwa vile amekeketwa.. Au ni mimi tu nilishindwa kumjulia
 
Hahaha

Usifadhaike kijana, ladies are not the same.

Wengine wana maji kidogo yanaishia huko huko ukeni.
 
Back
Top Bottom