sherida
Senior Member
- Feb 15, 2017
- 133
- 194
Habari zenu wakuu ninaomba muongozo nina mdogo wangu ana ujauzito wa wiki 40. Anapata maumivu makali chini ya kitovu na nyuma kwenye nyonga kama dalili za uchungu Ila ni usiku tu.
Halafu hiyo hali inatoweka mchana haimtokei Ila tu kachoka sana na hawezi kutembea mwendo mrefu anadai anapata maumivu na kuhisi kuna kitu kinasukuma .Swali je hatuwezi kwenda kwa Daktari tumuombe amuanzishie maji ya uchungu?
Huu ni uzazi wake wa tatu.
Sent using Jamii Forums mobile app