Kwa wanaume waliokosa matumaini

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,459
1,428
Kuna wanaume ambao huwa wanatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ambayo kiafya sio nzuri kwani inasemekana wengi huishia kuwa mzigo kwa wake zao/ wapenzi wao kwa kuwa jogoo hapandi!!

Kama wewe ni muhanga wa tatizo la jogoo kutokupanda vizuri ungali unakuwa na hamu ya kufanya mapenzi basi tatizo hili unaweza kuliondoa kwa njia ya asili kabisa isiyotumia nguvu.

unachotakiwa kufanya tafuta punje 3-4 za vitunguu swaumu pamoja na limao....twanga vipande vyako vya swaumu then weka kwenye kikombe cha chai, chemsha maji yawe ya uvuguvugu kisha weka kwenye kikombe chenye kitungu swaumu, kisha chukua limao lako kamulia kisha kunywa hili zoezi Fanya kwa mwezi mzima kisha angalia mabadiliko kama yapo, kama hayapo endelea na dozi na kama ukiona mambo mazuri basi acha Mara moja usiendelee tena.

Kiukweli sina utaalamu Ila nilimsikia mfamasia moja akimshauri jamaa ambaye alikuwa na hili tatizo na aliimpa week tatu na jamaa akaleta mrejesho kuwa mambo yapo super na mke wake mwenyewe anafurahia show!!

Jamani wanaume mnaotumia hizi dawa za kuongeza nguvu za kiume mjue kuwa mapenzi sio vita, mapenzi ni burudani sasa usifanye vitu vya ajabu kisa unataka kuonekana kuwa wewe ni kidume mjue kuwa mnawafanyia hivyo mwisho wa siku badala ya raha huwa karaha!

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
Ahsante mkuu, hili limekuja wakati sahihi kabisa. Juzi juzi nimeaibika sana kwa demu wangu hadi akawa ananiuliza kama nina tatizo au lah. Kiukweli niliumia sana namwaga fasta sana. Na wakati fulani najitahidi kufanya mbinu za kuondoa hisia ili dakika zisogee na demu wangu naye akojoe hakuna tu. Na hili tatizo hakikiwepo mwanzo


Happy dude
 
Back
Top Bottom