Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Sina sababu ya kujiapiza. Maisha yangu siku zote naona fahari kuwasaidia binadamu wenzangu. Sisi binadamu ni viumbe dhaifu sana. Ukitoa utashi tuliojaaliwa sisi si kitu mbele ya wanyama kama simba, mamba, viboko na wengine. Huu utashi na wala siyo nguvu ndio unaonisukuma kupenda kuwasaidia wenzenu.
Leo nakupa hii siri. Hili ni tunda ambalo watu wa vijijini hasa wafugaji wanalijua. Lakini siri hii walikuwa hawaijui.
TAFUTA HILI TUNDA, KULA TUNDA MOJA KILA SIKU KWA MUDA WA SIKU. UTARUDI HAPA KUNIAMBIA.
Note: Limenye vizuri kwa sababu ganda lake lina miiba midogomidogo
-Nashauri watumie wanaume tu tena walioko kwenye ndoa!