DOKEZO
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 322
- 496
Habari wanajukwaa
Jamani nimeona ni vema nikaja kuuliza humu nipate kufahamu.
Siku za karibuni nimekuwa na tabia ambayo ishakuwa sugu ya kunywa hichi kinywaji cha DRAGON kwa zaidi ya tatu kwa siku
asbh nakunywa,
mchana nakunywa,
jioni au wakati wowote ninaposikia usingizi na uchovu kutokana na shughuli zangu ni za kuchelewa sana kulala na kuwahi sana kuamka. So huwa nikinywa DRAGON inanirudisha kwenye momentum ya kufanya kazi na usingizi huondoka kabisa.
Swali:
Kuna madhara ya namna gani ninayoweza kuyapata??