Naomba kujuzwa kuhusu kuhusu tatizo la kigugumizi, ububu na uziwi

MR Kilimanjaro

JF-Expert Member
May 5, 2019
249
355
Hivi mwenye kigugumizi huwa anasahau neno analo tamka? Au huwa hawezi kulimalizia kwa muda huo na kwa haraka

Mfano mwenye kigugumizi kutamka neno "UNASIKIA" yeye huanza u u u u u nasikia, hua hapo kunatatizo gani?

Na tofauti kati ya bubu na kiziwi ni ipi?
Maana inajulikana bubu ni yule asie toa sauti,.
Na kiziwi ni yule asiye sikia ila sauti inatoka.

Hapa huwa najiuliza tu
.
Kuna kiziwi aliezaliwa nao akaongea maneno kama sisi?

Na kwanini kiziwi wa Kuzaliwa huitwa bubu? japo sauti inatoka au bubu ni yule asiye tamka maneno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom