Naepuka vipi magamba mikononi baada ya kutumia sabuni ya Unga?

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,164
15,844
Wakuu kila nikifua mara nyingi hutokea haya magamba mfano wa yale ambayo yanaota baada ya kubangua korosho lakini haya malaini laini.

Naepukaje hali hii maana inakeraga sana muda mwingine.

Picha

IMG_20190530_115617.jpeg
IMG_20190530_115901.jpeg
IMG_20190530_115851.jpeg
 
Acha kutumia sabuni feki kama zile za kupima zinfungwa kwenye vimfuko.

Ila pia kama utatumia hizo, baada ya kumaliza pakalia mafuta .
Mkuu OG nazitambua vipi maana mara nyingi huwa naenda dukani tu nataja jina napewa sabuni japo ni zile za paketi sio za kupima.

Kama hutojali nisaidie sabuni ambazo ni nzuri na salama kwa matumizi ambayo mwishoni hayatoleta athari kama hizi.
 
Omo , Ariel.
Foma kama vile zina chemical sana maana nazo ukifulia mikono inaweza kuwa milaini hadi kutoka damu.
 
Wakuu kila nikifua mara nyingi hutokea haya magamba mfano wa yale ambayo yanaota baada ya kubangua korosho.lakini haya malaini laini.

Naepukaje hali hii maana inakeraga sana mda ungine?

Picha

View attachment 1112307View attachment 1112309View attachment 1112310
Kabla ya kufulia sabuni ya unga iloweke kwenye maji muda wa chini sana iwe japo nusu saa.

Ukiweka kwenye maji na kufulia hapohapo lazima mikono iungue. Haijalishi ni omo ama nini.

Jaribu kufanya hivyo afu lete mrejesho.
 
Dah sasa mkuu kama ninanguo kumi manake nguo 1 niloweke kwa nusu saa.kwa sababu kila nguo moja au mbili lazima nitumie au niloweke sabuni mpya..

Kwa hiyo mfano..

Nguo 10 x 30dk =300dk
300dk nazitumia kwa ajili ya kuloweka sabuni tu.

Hapo tuchukulie kila nguo natumia dk 10 manake ni kuwa
Nguo 1=10dk
nguo 10=x
Manake dk 100 tu za kufua.

100dk za kufua + 300dk za kuloweka = 400 dk.

400 dk gawa kwa 60.

Kwa maana nguo kumi nazifua kwa masaa 6 mkuu kwa ajili ya ulowekaji kukwepa mapovu.

Mkuu hapo kuna anayefanya hivyo kweli mkuu?
Kabla ya kufulia sabuni ya unga iloweke kwenye maji muda wa chini sana iwe japo nusu saa.

Ukiweka kwenye maji nq kufulia hapohapo lazima mikono iungue. Haijalishi ni omo ama nini.

Jaribu kufanya hivyo afu lete mrejesho.
 
Mkuu huo utakuwa ni ufinyu wa mawazo.

Mtu lazima ajikubali alivyo na ajifurahie.
Siwezi kufuata life style yako na vile ulivyo eti kwa sababu ya kejeli ya ulaini.

Nimebeba zege sana enzi hizo,nimekuwa saidia sana wa mafundi enzi zangu,nimechimba sana misingi ya nyumba,nimebeba sana tofali za block n.k

Lakini ujue kwamba ukiona mkono wakp unabadilika na kuwa mgumu baada ya kufanya kazi hizo basi Jua mkono wako ndo LAINI.
beba zege...chimba makaburi..ukibega n.k
 
Mkuu OG nazitambua vipi maana mara nyingi huwa naenda dukani tu nataja jina napewa sabuni japo ni zile za paketi sio za kupima.

Kama hutojali nisaidie sabuni ambazo ni nzuri na salama kwa matumizi ambayo mwishoni hayatoleta athari kama hizi.
Tumia Tossy ile ya blue, hizo zingine wanaweka chemicals kali sana ndio maana zinakuchubua mikono....

Ukimaliza kufua nawa na maji safi kisha paka mafuta ya vaseline au ya nazi.
 
Dah sasa mkuu kama ninanguo kumi manake nguo 1 niloweke kwa nusu saa.kwa sababu kila nguo moja au mbili lazima nitumie au niloweke sabuni mpya..

Kwa hyo mfano..

Nguo 10 x 30dk =300dk
300dk nazitumia kwa ajili ya kuloweka sabuni tu.

Hapo tuchukulie kila nguo natumia dk 10 manake ni kuwa
Nguo 1=10dk
nguo 10=x
Manake dk 100 tu za kufua.

100dk za kufua + 300dk za kuloweka = 400 dk.

400 dk gawa kwa 60.

Kwa maana nguo kumi nazifua kwa masaa 6 mkuu kwa ajili ya ulowekaji kukwepa mapovu.

Mkuu hapo kuna anayefanya hivyo kweli mkuu?
Mkuu naona unaleta habari za ikiwa yai moja linachemshwa kwa dakika moja je mayai kumi
Kiufupi ukiambiwa uloweke nguo maana yake unatakiwa nguo zifananazo hata kama kumi ziloweke zote kwa pamoja kama ni nusu saa zote zinakuwa tayari. Hiyo dakika 300 kali
 
nimekuelewa sasa

Back
Top Bottom