My baby is almost 5yrs now!!
Hapendi kula kabisa yaani .nimetumia unga zote za lishe , nimebadili mapishi yote lakini wapi.
Akifungua shule anakonda vibaya mno maana sidhani kama anakula vizuri...
Habari za asubuhi waungwana wote hapa, Yupo ndugu yangu ameanza kuwa mweupe katika sehemu mbalimbali za mwili wake, weupe unaofanania kama wa zeruzeru vidoleni na miguuni.
Je, huu ni...
Ni usiku ila mimi Sina usingizi.
Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka. Naumwa kama mwez wa sita huu nimeenda hospitali bila mafanikio. Kinafunda kama kina usaha ndani.
Pia Nina maumivu ya kichwa...
Wakubwa shikamoo mm ni kijana nimezaliwa 2001... lakini nilikutana na binti chuo cha ualimu morogoro...pale kigurunyembe...mwezi wa tano tarehee moja...tulikutana na mwanachuo mwezangu wa ualimu...
Habari za leo wakuu, natumai mmeamshwa salama.
Nimekuja kwenu naombeni msaada wa kitabibu, nasumbuliwa na tumbo la chini la uzazi linaniuma sana mwezi wa pili sasa hasa upande wa kulia mpaka...
Hope humu kuna madaktari wabobezi kabisa, na case kama hii huenda ilishatokea kwa watu kadhaa na wakapata suluhu.
Ipo hivi jana baada ya kupata lunch nilihisi kichwa kuuma sana ,nikaona kwa kuwa...
Kirusi cha HPV (Human Papilloma Virus) kimetajwa kuwa hatari kwa kusababisha saratani za aina mbili zinazokua kwa kasi ikiwemo inayoathiri koo na shingo ya kizazi aina inayoongoza kwa asilimia 36...
Habari yako ndugu. Karibu tena, tunaendelea na makala zetu kuhusu madhara ya kisukari.
Kisukari huharibu figo kwa namna mbili: namna ya kwanza ni madhara ya moja kwa moja yatokanayo na uwepo wa...
Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zimeonesha ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 nchini kutoka asilimia 4.1 hadi asilimia 5.5.
Takwimu za wiki ya kwanza ya Novemba 2022 zinaonesha kati ya watu...
Salama wakuu !!
Kwa wataalam wabobezi mnaweza kuisemeaje hii,, Mfano unachek blood pressure wakati wa mchana kipimo Cha chini Ni 48mmhg,, lakini katika kipindi hichohicho wakati wa asubuhi mara...
Nimesikitishwa baada ya kuona Barua yako Ya majibu uliyowaandikia Umoja wa WAHITIMU WA SHAHADA YA UTABIBU NA UPASUAJI,
Kwa barua yako yenye kumbukumbu No.MB.131/220/01/36
ilikuwa na kichwa cha...
Habarini wakuu:kuna hii mila ya ukeketaji wanayofanyiwa watoto wakike hata wale walio wadogo kabisa kiumri, mila hii hasa ipo mkoani #Mara na mkoa wa #Manyara! Je kuna faida yeyote ile kiafya kwa...
Biringanya ni moja ya vyakula maarufu sana katika jamii nyingi ulimwenguni. Hupatikana pia kwenye maeneo mengi ya bara la Afrika. Kwa upande wa nchi za Ulaya, hupikwa kama kifurahisha kinywa...
Ugonjwa wa homa ya manjano (Yellow fever) husababishwa na vimelea vya virusi kutoka genus (jinasi) ya Flavivirus ambao huenezwa na Mbu.
Mbu hao hupatikana kwa wingi katika sehemu za ukanda wa...
HABARINI ZA WEEKEND WANA JF,
Natumai mu buheri wa afya.
Kwa Ufupi Mimi ni kijana wa kiume miaka 22. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo apa Tanzania.
Nimeandika huu uzi kuomba msaada ni dawa...
Wadau naombeni jina la kimiminika kisichokua na madhara kwa mtumiaji kwa ajili ya kumlainisha mke wangu sehem zake. Hii ni kwa ajili ya kumpa foreplay(sehem muhim sana hi kitandani) ya kutosha na...
Ni mwezi wa pili sasa nasumbuliwa na matatizo ya kiuno kila nikisimama au nikikaa muda mrefu
Nikikaa chini kuja kunyanyuka napata maumivu makali sana kuna wakati kiuno kilikamata hadi nasimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.