Jina la jelly ya kulainisha uke wa mke wangu

Tafakuru

Member
Dec 9, 2011
83
33
Wadau naombeni jina la kimiminika kisichokua na madhara kwa mtumiaji kwa ajili ya kumlainisha mke wangu sehem zake. Hii ni kwa ajili ya kumpa foreplay(sehem muhim sana hi kitandani) ya kutosha na vimassage kabla ya kumuingilia.

Kwa anaefaham naomba anisaidie tu jina ana bei yake.
 
Inaitwa KY jelly. Bei sina uhakika lakini inategemea na size ya hiyo tube. Kuna ndogo na kubwa. Ile ndogo nadhani haifiki/haizidi Tsh elfu kumi (10,000/=)
 
Asante sana Mpwa...your such a saviour, i hope inaarufu nzuri na kwa uzoefu wako inakidhi mahitaji.Curious
 
Wadau naombeni jina la kimiminika kisichokua na madhara kwa mtumiaji kwa ajili ya kumlainisha mke wangu sehem zake. Hii ni kwa ajili ya kumpa foreplay(sehem muhim sana hi kitandani) ya kutosha na vimassage kabla ya kumuingilia.

Kwa anaefaham naomba anisaidie tu jina ana bei yake.

tumia mzeituni
 
Tafuta chanzo cha ukavu wa uke wa huyo mke wako. Kwa kawaida Mwanamke aliyekuwa tayari kuingiliwa anakuwa na ute kwenye njia yake ya ukeni. kama ukiona umemchezea na badu yuko makavu basi ujue kuna tatizo. labda hajawa yayari na mawazo yako hayapo katika kutenda tendo la ndoa. Pia inawezekana hauna mvuto kwake au unamlazimisha penzi. Ikiwa vyote vipo hivyo lakini bado kukavu , basi muone Mtaalam wa masuala la Kinamama. Anagalia usije ukamndamiza mijelly au mimate mingi ikamdhuru baadae.
 
Back
Top Bottom