Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kutokana na mada ya hapo juu je, upungufu wa hiyo hormone unasababishwa na nini. Je, watu wapi hasa inawapata watoto, vijana, wazee na kama kijana imempata inaweza kurudi ikawa kawaida manake ni...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wakuu Katika kujipima kutumia bioline nimejikuta nimejichoma sindano niliyokuwa nimemchoma mtu mwenye HIV Sasa nilikuwa mbali kidogo na eneo la kituo cha afya kwahiyo kesho yake...
2 Reactions
52 Replies
9K Views
Wadau, Tatizo hili ni kubwa tena sana na wajanja ni wengi wanalia watu hela zao. Mie ni mmoja wa waathirika wa hili tatizo na nimetumia mitishamba sana na sijawahi kupona hili Tatizo. Wengi au...
9 Reactions
93 Replies
15K Views
Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja. Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za siri. Hamu inakata ghafla Mara baada ya...
11 Reactions
109 Replies
14K Views
Mwaka jana nilipost hapa kuhusiana na rafki yangu aliepata ajali na kupoteza nguvu za kiume, kupelakea ndoa yake kutaka kuvunjika, sote tunaelewa kwmba waganga weng siku hizi ni waongo, tulienda...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wapendwa? Kama mada ilivo hapo juu yakuwa tuna baadhi ya wahudumu wa mahabara akikuhudumia haweki jina lake kabisa pale panapotakiwa jina lake, je huu ni wizi pia au kuna nini nyuma ya...
0 Reactions
4 Replies
619 Views
Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na wale waliomaliza majukumu yao ya uzazi. Tatizo linapojitokeza huleta athari nyingi kwa mwanamke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wana jamvi, Msongo wa mawazo na huzuni ni jambo ambalo karibia kila mtu anapitia, ila pengine tunatofautiana ujasili na jinsi ya kukabiliana na changamoto za kila siku. Kumekua na matukio...
0 Reactions
2 Replies
565 Views
Habari, Mtoto wangu ana miaka 2.3 anaenda 2.4 haongei, nashindwa elewa hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo. Alipokua mchanga tuliona ulimi kile kidude cha chini nadhan wanaita udata kama...
2 Reactions
4 Replies
774 Views
Kukutana kimwili bila kutumia kinga na mwanamke aliyejufungua kwa oparation baada ya kupita miezi mitatu inaweza kupelekea akapata ujauzito?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Komamanga ni mojawapo ya matunda yaliyodumu duniani kwa karne nyingi sana, kisayansi huitwa Punica granatum. Virutubisho Huwa na muunganiko mkubwa wa kemikali za phenolics, flavonoids...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za Muda huu wapendwa, naomba kujua nitumie Nini kuponya jicho lililovimba na linauma pia, nimeamka tu asubuhi nimejikuta hivyo ila nahisi ni kutokana na vumbi la siku mbili tatu zilizopita...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jf, nina mjomba ambaye Ana tatizo la kisukari, kwa sasa Ana kidonda ktka mguu ambacho kilitokana na kuchomwa sindano. Naomba kujua kama kuna mtu ambaye amewahi kupitia changamoto hii...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbalimbali lakini ugonjwa huiponi. Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma...
7 Reactions
105 Replies
11K Views
Maldives! Wakuu kwema? Hivi inachukua mda gani bangi kuondoka kwenye ubongo wa binadamu mpaka urudi kuwa normal? Yani naongelea ile full Cannabinoid detoxification. Yani mpaka pale Neurones...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Tatizo limeanza juzi, yaani natoa haja ndogo malra kwa mara kwa shida sana pia tumbo linaniuma nitumie dawa gani?
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari, Nina tatizo la kupata maumivu baada ya tendo la ndoa(sex). Uume unakuwa na maumivu mno. Hasa kwenye mlija wa mkojo. Ambao upo ndan ya uume. Nimepime damu na mkojo nimeambiwa nipo sawa...
1 Reactions
15 Replies
11K Views
hello. kicha cha habari kinajieleza, tafadhari kwa anaefahamu upatikanaji wa dawa tajwa hapo juu namba zangu ni 0687411568
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Habari za jioni wakuu poleni na shughuli za hapa na pale Nina jambo kidogo nahitaji tushirikishane inawezekana hili jambo linawatokeaga na wengine ningependa kujua tatizo hili lina sababu za...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Tafadhali kama wewe si mwanaume au ni mwanaume usiye kuwa na ndevu hii haikuhusu.. Nilikuwa naongea na daktari mmoja katika hospitali moja kubwa sana katika nchi niloyokwenda kutembea..chonde...
0 Reactions
23 Replies
17K Views
Back
Top Bottom