Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
360
385
Ni usiku ila mimi Sina usingizi.

Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka. Naumwa kama mwez wa sita huu nimeenda hospitali bila mafanikio. Kinafunda kama kina usaha ndani.

Pia Nina maumivu ya kichwa kisichopona (chronick headache) sijui shida iko wapi. Mbaya zaidi kichwani mara nyingine nasikia mngurumo /mchakacho kama ausikiao tumboni mtu mwenye njaa.

Naomba anayeweza kunishauri au kujua chanzo Cha tatizo na napateje matibabu

Tusaidiane tafadhali
 
Hauja tapeli au kuiba Mali ya mtu?

Haukupishana kiswahili na wazee?

Jaribu kuchunguza hatua zako miaka ya hivi karibu. Na uchukue hatua sahihi
 
Kiukweli sijui Wala sijawaza kuiba chchte Cha mtu au kumjibu mtu vibaya labda tu kama Kuna mtu ana Hila zake tu Ila sijawahi kumkosea mtu
 
Walinipa dawa ya kupaka tu haijanisaidia
Kuhusu kichwa walinambia ninywe maji mengi Ila kichwa kijiuma nikinjwa maji hakitulii tena wakati wa kwenda kukojoa napata maumivu kama kinang'ofoka hapo
Pole sana. Mimi nahesabu BADO HUJAENDA HOSPITAL. Watanzania tuna kawaida ya kwenda hospital mara moja au mbili au hata tatu na tusipopona, tunarudi nyumbani kulalamika kuwa hosptal imeshindikana. Na kichekesho ni kuwa unaweza kukuta tumeona hawa ma-medical attendant kwenye dispensary ya mtaani. Kulingana na maelezo yako ni kuwa inabidi umuone dr eg specialist kwenye hospital nzuri, na possibly kama hataweza kugundua basi ubadili tena dr au hospital. Hapa sana sana utapata majibu ya kubahatisha tu.
 
Naona ni kweli
Nitajitahid niende hospital kubwa na nimuone specialist
Mfano kiuno nauona specialist wa nini? Never au
 
Walinipa dawa ya kupaka tu haijanisaidia
Kuhusu kichwa walinambia ninywe maji mengi Ila kichwa kijiuma nikinjwa maji hakitulii tena wakati wa kwenda kukojoa napata maumivu kama kinang'ofoka hapo
Uwaone wazee wa kimasai wana dawa
 
Wahi muhimbili sababu linaweza kuwa tatizo kubwa alafu ukaja chelewa na ukajikuta na options chache ikiwemo kifo.
 
Unafanya kazi za nguvu, unainama kwa muda mrefu?

Unaishi mazingira ya joto kali?
 
Ni usiku Ila Mimi Sina usingizi.

Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka. Naumwa kama mwez wa sita huu nimeenda hospitali bila mafanikio. Kinafunda kama kina usaha ndani.

Pia Nina maumivu ya kichwa kisichopona (chronick headache) sijui shida iko wapi. Mbaya zaidi kichwani mara nyingine nasikia mngurumo /mchakacho kama ausikiao tumboni mtu mwenye njaa.

Naomba anayeweza kunishauri au kujua chanzo Cha tatizo na napateje matibabu

Tusaidiane tafadhali
Dah- Kuna jamaa yangu alikuwa anaumwa sana kama wewe kiuno, kula dawa wapi- baadae Mungu saidia alikuja kukuta sukari. Sasa nilishindwa kujua mahusiano ya sukari na kiuno kabisa
 
Back
Top Bottom