Jocasta
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 475
- 603
Habarini wakuu:kuna hii mila ya ukeketaji wanayofanyiwa watoto wakike hata wale walio wadogo kabisa kiumri, mila hii hasa ipo mkoani #Mara na mkoa wa #Manyara! Je kuna faida yeyote ile kiafya kwa mwanamke anayefanyiwa hiyo mila? Na napenda kujua pia kama kuna hasara ya mila hiyo zaidi ya kuvuja na kupoteza kiwango kikubwa cha damu