Naomba kujua matumizi ya dozi ya Azuma

Naomba kujua matumizi ya dozi ya Azuma

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
124
Reaction score
78
Habari za weekend naomba maelezo namna ya kumeza vidonge vya AZUMA

Unakunywa vyote 3 mara moja au kimoja kimoja? Na baada ya mda mda gani?
Ahsanteni
 
Habari za weekend naomba maelezo namna ya kumeza vidonge vya AZUMA

Unakunywa vyote 3 mara moja au kimoja kimoja? Na baada ya mda mda gani?
Ahsanteni
Kimoja kila siku kwa siku 3
 
Siku 3 au 6
Nusu dozi= siku tatu
Dozi kamili= siku sita

Matibabu= 1.magonjwa yote ya maambukizi ya mkojo (UTI- hususani zile sugu) 2.magonjwa ya zinaa (hususani gono)

Matumizi= 1×1×3/7 au 1×1×6/7 yaani kidonge kimoja kila siku kwa siku tatu au sita mfululizo katika siku saba za wiki

Kalikwae tena gono halafu uje uulize tena!
 
Back
Top Bottom