Wakubwa shikamoo mm ni kijana nimezaliwa 2001... lakini nilikutana na binti chuo cha ualimu morogoro...pale kigurunyembe...mwezi wa tano tarehee moja...tulikutana na mwanachuo mwezangu wa ualimu .....katika chuo flan mkoa mwingine .....walikuja kwenye mafunzo ya vitendo
Kama kawaida baada ya masaa ya kazi tulitoka out kwa bahati mbaya tukajikuta tumeshiriki tendo takatifu la ndoa
Sasa juzi baada ya wiki akaniambia mjamzito .....nilipata mashaka kidogo...nilipomuuliza mbna mapema akasema alichanganya siku
Sasa juzi ananipigia simu akiwa mkoani kwao singida kwa wanyaturu siku ya sherehe xmass kajifungua mtoto wa kiume
Nilishtuka sanaaa ila nikapiga moyo konde
Jana tena ananipigia akinilazimisha nimpeleke home wakamwone mtoto wetu....ikiwezekana nimtambulishe kabisa home
Nilipomwomba anitumie picha mtoto katoka mweupe ila mm mweusi nilipomuuliza akasema kafuata kwa mama
Ila maswali yangu najiuliza?
MBONA NIKIHESABU NI MIEZI SABA TOKA SEX MPAKA KUJIFUNGUA ILA PICHA YA MTOTO HAONEKANI KM NI NJITI
Namashaka na kulea mtoto sio wang
Pili sijajipanga kuingia kwenye ndoa
Naombeni ushauri jamani