Nilipomuona dr ndodi anatangaza ofa ya kutibiwa bure kwa wote watakaoenda kupata tiba kwake kwa kulipia kiingilio tu cha sh.50,000/= nilijipa moyo kuwa tatizo langu la aleji litakuwa limepata...
Wadau nisaidieni tiba kunusuru ndoa yangu!ninatatizo ambalo limenitokea mara kadhaa sasa hasa ninapokua ninangonoka baada ya goli la kwanza tu basi mashine haisimami tena suala ambalo limeleta...
Heshima mbele Wakuu, nina dada yangu ameugua muda mrefu kdg na hosp wamekuwa wakimwambia ni tatizo la nyongo imezidi mwilini na kuzagaa kny damu!
Kwa hakika ametumia dawa nyingi na tumeshawaona...
Wapendwa,
Mke wangu nimeishi nae kwa miaka tisa na Mungu ametujalia watoto watatu. Kinachoninyima raha ni udogo wa matiti ya mke wangu. Anapokuwa na mimba na anaponyonyessha huwa yanakuwa makubwa...
Wana jamii wenzangu naomba msaada kiukweli ukweli,
Kuna jamaa yangu wa karibu sana anatatizo ambalo lina msumbua sana kichwa na inafikia hata utendaji kwenye biashara zake kushuka.
Naomba...
Kwa utafiti wa haraka haraka kama mpita njia nimegundua kuwa baadhi ya makabila kama Wamakonde,Wangoni,na Wazigua(Tanga line) ni makabila yanayopenda sex sana.
Naomba wataalamu mnijulishe je kuna...
HAYA SASA, TAARIFA JUU YA TIBA YA BABU NDIO KAMA IFUATAVYO. KWA WALE WASIOAMINI NA KWA WALE WANAOAMINI, TASK FORCE IMETHIBITISHA DAWA YA BABU HAINA MADHARA YANAYOJULIKANA KWA BINADAMU (KWA SASA)...
hellow wadau! Msaada kwa rafiki yangu pls,ana madoa doa maeneo ya kifuani hadi shingoni,kwakweli yamemuharibu sana ukizingatia yeye ni white,so amekua kama kenge! Kajaribu kutumia dawa kama...
Tumekuwa tukiwashuhudia akina mama wakihangaika huku na huku wakitafuta njia mbalimbali za uzazi wa mpango au kufunga kizazi.
Ni nadra kuwakuta akina baba wakijishughulisha na mambo hayo hata...
Nina mchumba wangu lakini cku za hivi karibuni akishamaliza siku zake bado anakuwa bado anatokwa na bleed kma vitone kwa mbali.
Kama kuna mtu mwenye ufahamu nisaidieni! Ni sababu zipi...
Wanajamvini naomba msaada wenu kuna siku nilikuwa nachokonoa meno na stepple ikawa kipande cha stepple pin likavunjika nikaimeza imenikwama kooni napata maimivu makali sana nifanyeje ni wiki ya...
Waungwana naomba kujua wapi naweza kupata miwani ya macho kwa bei rahisi haswa hii ambayo haina frame-sijui inaitwaje najua kioo kinakuwa hakikuzungushiwa frame.
Natanguliza shukurani. Kupimwa...
Nikawa najiuliza. Itokee watu walio kwenye foleni waambiwe "Samahani wapendwa katika Kristu, Mchungaji Ambilikile leo hajisikii vizuri, pressure yake na sukari imepanda hivyo kapelekwa KCMC kwa...
Nina mtoto wa umri wa miezi minne, kila anaponyonya namlaza began kujaribu kutoa gesi, lakini pamoja na hayo yote ni mara chache sana kucheua bila kulia. Naomba msaada tatizo ni nini? Na nini tiba...
Naomba kuwapa pongezi na pole madaktari wa Tanzania haswa [Specialist]
Tukianzia Dar es salaam, Muhimbili, Arusha, Kilimanjaro mpaka .....Daktari [Specialist wa wilaya kama wapo].Manake...
Hivi karibuni kwa imani, Mungu anaonesha vipaji vya utambuzi na matumizi ya mimea, na kwa madai kuwa baadhi ya miti imekuwa tiba tosha kwa maradhi sugu yanayowasumbua watu kwa kitambo kirefu kama...
Fasting 'could lower your risk of heart disease and diabetes'
The 30 volunteers fasted for 24 hours and only drank water. This encouraged the body to start burning up fat cells (posed)
Fasting...
Nawasalimu wanajf wote. Naanza kwa kuomba samahani kwa vile naelewa wazi kuwa thread hii si pure siasa.
Nimekuwa nikifuatilia picha zinazopigwa huko Loliondo kwa babu, jambo lililonifanya...