Makabila haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makabila haya

Discussion in 'JF Doctor' started by digodigo, Apr 8, 2011.

 1. d

  digodigo Senior Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa utafiti wa haraka haraka kama mpita njia nimegundua kuwa baadhi ya makabila kama Wamakonde,Wangoni,na Wazigua(Tanga line) ni makabila yanayopenda sex sana. Naomba wataalamu mnijulishe je kuna uhusiano gani wa hayo masuala na mazingira watokayo hawa watu au pengine 'genes' zao zinakuwa stimulated na baadhi ya vyalula wanavyokula? wamakonde huanza shughuli hizi at very early ages, wangoni wako tayari hata kudeal na ndugu wakaribu na wenzetu wa Tanga ni ving'ang'anizi.Nadhani wenzangu mtaniunga mkono.
   
 2. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Mmmhh!!! huko simo kabisa
   
 3. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mi mwenyewe mngoni pure na haka katabia kapo miongoni mwetu, tukipenda tunapenda kwerkwer eti..! Tupo tayari hata kuhonga mashamba, mifugo ili mradi tu umpate mdodido. Mbaya zaidi hata watoto wadogo under 15 nao hawashkk kwa ngo..o!!?
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  makabila ayo tu ndo wenye BIOLOJIA?
  MAKABILA mengne awafany ngono?
  hawazalian?
  au kipimo cha ngono kwako ni kip?


  umetumia criteria gan kucoclude?


  thank u.
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hivi result ya kupenda sex si kuzaana sana? au nakosea. kama ni kweli tuangalie ni mkoa na makabila yepi yanazaana sana.
  1-wasukuma
  2 -............
  3.......
   
 6. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mmmh ngoja nifanye kwanza utafiti!
   
 7. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  umewasahau whaya na wanyakyusa lol
   
 8. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  a gud thing Wasukuma sio malaya
   
 9. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wana JF kwa ulimwengu wa sasa hakuna kabila ambalo unaweza kulinyooshea kidole kwamba wao wamezidi kwa ngono, cha msingi wewe muombe mungu akupe mpenzi/mke mwenye maadili, jaribu kuwa na mpenzi wa kabili unalofikiri ni mwadilifu halafu mchunguze uone.
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kila kabila linaongoza kwa ngono akuna linalomzidi mwenzake ila ni hulka tu zawatu kupenda kusingizia alafu ni hulka ya m2 binafsi utakuta mwanamke au mwanaume wa kabila fulani malaya akuna mfano
   
 11. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  kuna wapare
   
 12. e

  ejogo JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kabila halina uhusiano na mambo ya ngono. Mambo mengine ni matani zaidi kati ya makabila na makabila. Nadhani ingekuwa hivyo kwa makabila uliyoyataja (wamakonde, wangoni na watanga), rate ya HIV ingekuwa juu kwa mikoa hiyo pia idadi ya watu ingekuwa juu.
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  I agree mkuu, apology if you felt offended.
   
Loading...