perfomance iko chini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

perfomance iko chini

Discussion in 'JF Doctor' started by fimbombaya, Apr 11, 2011.

 1. f

  fimbombaya Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  wadau nisaidieni tiba kunusuru ndoa yangu!ninatatizo ambalo limenitokea mara kadhaa sasa hasa ninapokua ninangonoka baada ya goli la kwanza tu basi mashine haisimami tena suala ambalo limeleta mgogoro na mwenzangu akinituhumu kuwa nacheza mechi za nje na nikifika kwake huwa nimechoka.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  ngono + kwake = mke wa ndoa??Samahani nimejikuta nafikiria kwa maandishi!Zipo thread humu kuhusiana na tatizo lako...angalia angalia utakutana nazo upate ufumbuzi.
   
Loading...