nini sababu ya mtoto mdogo kila anapotaka kucheua analia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nini sababu ya mtoto mdogo kila anapotaka kucheua analia?

Discussion in 'JF Doctor' started by Nansawa, Apr 6, 2011.

 1. N

  Nansawa Senior Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nina mtoto wa umri wa miezi minne, kila anaponyonya namlaza began kujaribu kutoa gesi, lakini pamoja na hayo yote ni mara chache sana kucheua bila kulia. Naomba msaada tatizo ni nini? Na nini tiba yake
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  DEar Nansawa, pole kwa mwanao I guess mwanao kwa sasa unampa maziwa peke yake, if yes then angalia vyakula unavyokula wewe pengine vinaaffect content ya maziwa ambayo inamuaffect mtoto. Kulia wka mtoto wakati wa kucheua hutokana na maumivu anayoyapata wakati huo. So check chakula ulacho wewe mama mtu but kama umeanza kumpa vyakula vingine please kuwa makini na content ya vyakula hivyo au aina ya ingrediants unazotumia meaning aina ya butter ambayo unatumia.

  once again pole sana na maumivu yakizidi mpeleke kwa Daktari wa Watoto
   
Loading...