Kila nikimshoot mrembo anakata moto msaada please. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila nikimshoot mrembo anakata moto msaada please.

Discussion in 'JF Doctor' started by Criss, Apr 10, 2011.

 1. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wana jamii wenzangu naomba msaada kiukweli ukweli,

  Kuna jamaa yangu wa karibu sana anatatizo ambalo lina msumbua sana kichwa na inafikia hata utendaji kwenye biashara zake kushuka.

  Naomba nisisitize hii ni habari ya kweli na inamtesa mtu hata sasa na anategemea sana msaada wenu wana jamii.

  Huyu jamaa ni mfanya Biashara na mchumba wake yupo Idara ya uhamiaji (emigration)
  Bado hawajafunga ndoa lakini ukaribu wao umeanza tangu wakiwa watoto kabisa shule ya msingi hadi A Level wamesoma shule moja ila baada ya hapo yule msichana wazazi wake walihamia Sweden kikazi hivyo walihama nae.

  Katika kipindi hicho chote hawakuwahi kukutana kimwili (nikimaanisha ngono)
  lakini kutokana na mahitaji ya kimwili kuwazidia ilikua tarehe 13/4/2010 mrembo yeyemwenyewe akashawishi kutoa mzigo ili na yeye aingie kwenye ulimwengu maridhawa.
  kweli kwa siku ya kwanza mrembo alikua msumbufu kidogo akibananishwa kona apigwe pini nikianza kukandamiza tu anapiga kelele hata wakati mwingine ananing'ata kabisa ,mara anajifungia bafuni mwisho wa siku zoezi lilikamilika ila shida ni kwamba alizimia kwa zaidi dakika 40. na kinacho mchanganya jamaa zaidi ni kwamba ile hali ya kuzimia inaendelea hadi sasa yaani jamaa akimiliki jukwaa na mrembo akipiz anazimia mojakwamoja hii hali jamaa inamnyima amani kabisa na kwa kua anampenda sana hata kumsaliti hathubutu .
  Wamesha enda Hospital tofautitofauti lakini mrembo bado anaendelea kuzimia tu.
  Je!hali hii inasababishwa na nini?
  Ni hali ya kawaida
  Nini madhara yake?
  Nini tiba yake?
  There any alternative to keep her safe?

  Msaada wenu nimuhimu sana wakuu
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tatizo la jamaa alafu anakung'ata?Poleni kwa matatizo!
   
 3. j

  jambia Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana, japo kutokana na maelezo yako napata taabu kuelewa kama ni wewe au jamaa yako! Anyway, jaribu hata kwa Babu Mwaisapile.:drum:
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  mkuu tulia ueleze shida yako vizuri....inaonekana wakati wa kuandika ulikuwa unarukaruka sana.....na hata ukisema ni wewe haina ubaya....utasaidiwa tu....hapa ndio JF.....hakuna mtu anakuona kwenye keyboard huko
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  huyo bidada ana mihemko ndo maana anazimia baada ya wewe kupizi. Hold ur desire, mwache dada amalize kabla yako ndipo nawe umimine hayo mauji yako utaona kama dada atazimia.
   
 6. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Ndio matatizo ya kubakana hayo. Dada aliathirika kisaikolojia, anawaza na kuogopa maumivu ya tendo. Angebembelezwa na kuanzwa kwa hiari, labda angeujua utamu na kuufurahia.
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,204
  Likes Received: 3,766
  Trophy Points: 280
  Waende loliondo harakaka sana
   
 8. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  heehheeheh na pia nna shida ya jamaa angu jamani,,,
   
 9. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  huyo mdada anatatizo la kisaikolojia,nawashauri wamtafut saikologist atawasaidia!!!!
   
 10. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lakini kwa mujibu wa maelezo ya jamaa anadai kulikua na maandalizi ya kutosha kuanzia chakula lain,romantic song,maua hadi rangi za pazia labda kunatatizo la ziada Dada angu.
   
 11. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni makosa tu ya kiuandishi lakini muhusika sio mimi.ahsante kwa michango yenu.
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  mbona km vle ni WEWE? Anyway pole na matatzo, nendeni kwa m2 wa saikolojia atawasaidia, manake inaonekana tatzo lko upande huo!
   
 13. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ahsante kwa ushauri.
   
 14. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ahsante kwa ushauri ... barikiwa.
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Akizoea ataacha
   
 16. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Ongeza dose...Akizoea ataacha
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Duh! Ulivyojichanganya hadi ushauri niliotaka kukupa umeyeyuka.
   
 18. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tehe tehe!
   
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  itakuwa ana kifafa wahi kapimpigishe kikombe kwa babu
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Nilham nimekumiss
   
Loading...