Msaada tafadhali kuna njia yoyote isiyo na madhara ya kuongeza ukubwa wa matiti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali kuna njia yoyote isiyo na madhara ya kuongeza ukubwa wa matiti?

Discussion in 'JF Doctor' started by Kingcobra, Apr 3, 2011.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Wapendwa,
  Mke wangu nimeishi nae kwa miaka tisa na Mungu ametujalia watoto watatu. Kinachoninyima raha ni udogo wa matiti ya mke wangu. Anapokuwa na mimba na anaponyonyessha huwa yanakuwa makubwa na yanapendeza sana. Lakini miezi michache baada ya kumwachisha mtoto huwa yanarudi kuwa madogo sana. Je, kuna njia ya asili au dawa isiyo na madhara ya kukuza matiti? Msaada tafadhali. Am serious!
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Akina dada wa JF tujuzeni tafadhali japo Kingcobra hajaweka wazi anataka matiti yawe makubwa kiasi gani! Jambo moja nataka nimfahamishe ni kwamba hakuna dawa isiyo na madhara. Kinachotofautisha kati ya dawa na dawa ni kiwango cha madhara basi. Lakini lazima yawepo.
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nenda kwa wachina, mmmh hata hivo kwa nn unashindwa kuukubali uumbaji wa Mungu?
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kuna wadudu fulani muda wote huwa wanazunguka kwenye maji yaliyotulia. Ukifanikiwa kumkamata msogeze kwenye chuchu za titi la mkeo. Yule mdudu atamuuma. Nasikia hapaumi sana. Fanya hivyo kwenye titi la pili. Baada ya wiki moja utaona mambo yanavyobadilika.
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Binadamu siku zote hatuna shukrani
   
 6. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Sor,hivi kabla hujamwoa hukuona kuwa ana matiti madogo? Kama yalikua hivyo ukaridhika ukaoa imekuaje sasa?
   
 7. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Waswahili bwana! Badala ya kujibu na wewe unauliza na kuacha swali la mwenzio. Kama huna jibu si utulie tu!
   
 8. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  usishangae ndugu ndo hulka ya waswahili.
   
 9. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hizi tiba za babu! Hata nyuki akiuma chuchu, ziwa litavimba sana tu sasa na nyuki anaweza kutumika?
   
 10. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  huyu mke uliozeshwa ndoa ya mkeka?au ulimchagua akiwa na mimba kwa hiyo hukujua maziwa yake yana kasoro?au umeonja nani...h kutoka nyumba ndogo?
  Anyway nenda kamfanyie plastic surgery ,lakini hapa atahitaji kuchukua mafuta kutoka sehemu nyingine ya mwili hasa mapaja kama yeye ni 'slim' itabidi uendelee kumvumilia.

  Hakuna tiba isiyo na madhara!!
   
 11. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Utakuja umkumbuke babu utakapokuja uugue kisawasawa. Wengi wanaombeza babu hawajaugua kwa kiwango cha kupoteza matumaini, kama wanavyougua wale wanaosafiri kutoka Namtumbo mpaka Loliondo. Sikuombei lakini huo ndiyo ukweli na maadamu unaishi utayakumbuka maneno yangu. Samahani kama nimekukwaza.
   
 12. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Kabla ya kumuoa matiti yake yalikuwa na size gani ? Natumai ulimpenda wakati hana mimba wala hanyonyeshi.
   
 13. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,229
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Its obvious kwamba mwanzoni tunaongozwa na tamaa ambayo inapelekea kukosa maamuzi sahihi of which tunafanya commitment zinazokuja kutusuta baada ya tamaa kutulia...Haiwezekani ukutane na binti of whom naamini ulimsifu sana maumbile yake (ikiwa ni pamoa na matiti yake madogo),ukambadili mawazo na kufanikiwa kuzaa nae watoto watatu halafu leo udogo wa maziwa uwe kero! Yumkini ushaanza kukosa uaminifu kwenye ndoa yako ila bado unampenda mkeo so unafanya comparison...Vyovyote iwavyo unalotaka kufanya ni against ethics za uumbaji!
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  akitumia nyoka yataongezeka maradufu.
   
 15. P

  Puza Senior Member

  #15
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kaka mungu alikujaalia aina hio ya maumbile kwa mkeo mi nadhani hatua moja ya kutatua tatizo ni kukubali tatizo,leo unataka mkuze maziwa miaka 9 baadae uzee ukimyemelea utatuomba ushaur jins ya kumrudisha ujana na labda mungu akimchukua je utatuambia namna ya kumfufua.yakubidi ukubali kila kukicha binadam tuna mahitaji mapya na tumetawaliwa na tamaa cha msingi kama mnapendana kwa dhati matiti tu c tatizo kubwa kihivyo mpende mkeo bwana.
   
 16. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,229
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Nilipata kusikia affection ya mapenzi ya ujana likely inarudi uzeeni...moral ya fundisho hili ni kwamba namna ulimpenda kwanza ndivyo utakavyompenda uzeeni...kwa maana nyingine ni kwamba umri wa kati ya ujana na uzee una mambo mengi sana ambayo yanatokea tu purposely...angalizo! Epuka kufanya jambo lolote litakalokuja kuchakachua natural love kwa mkeo km Mwenyezi Mungu akikujaalieni uzee!
   
 17. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Pole sana kaka kwa hilo! Ingawa mi naona si tatizo maan kama lingekuwa tatizo lingetokea mwanzoni mwa mahusiano yenu! Ila kwa ushauri wangu ni kwamba mshukuru Mungu kwa kumwumb mkeo hivyo na wala usitafute njia ya kufanya matiti yake yawe makubwa, mana kama utafanya hivyo utayafurahia kwa mda tu halafu baadae yatakaposhuka,utaleta tena thread ya kuyarudisha kama zamani..Sasa cha kufanya ni kitu kimoja, jaribu kutafuta sehemu zingine za mwili wa mkeo ambazo zitakusisimua zaidi..maana kuna sehemu nyingi tu ukiachana na matiti yake..Halafu angalia familia yako na watoto pia usije ukaumiza kichwa kwa jambo dogo kama hilo ukasahau familia na Kuanza toka nje kisa matiti makubwa..Ni hayo tu. Ingawa mi ni mgeni ndani humu na nimevutiwa sana na mada mbalimbali..Naombeni mnikaribishe.THANKS.
   
 18. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mkuu ridhika na maumbile ya mkeo...usiyumbishwe na wachina wanavyotuharibia maumbile halisi ya dada zetu..yakiwa makubwa au madogo swaga ni zile zile tuu inategemea na wewe unataka kuyafanyia utundu gani...huko unakotaka kuelekea utamsababishia mkeo matatizo mengine ambayo baadae utajutia..dawa za kijana zipo ila hazina kiwango cha ukubwa yanaweza kuwa makubwa kiasi ambacho utaona karaha...watch out mkuu
   
 19. L

  Leornado JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mmmh, please angalia usije ukamuua mkeo ukakosa vyote.

  Isitoshe matiti fake hutakuwa na raha nayo.
   
 20. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama ni mwembamba basi mwambie ale hovyo hovyo ili anenepe. Kwa kawaida akinenepa mwili na manyonyo huongezeka. Ila je unapenda anenepe? otherwise hakuna dawa nyingine isiyokuwa na madhara.
   
Loading...