miwani

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Waungwana naomba kujua wapi naweza kupata miwani ya macho kwa bei rahisi haswa hii ambayo haina frame-sijui inaitwaje najua kioo kinakuwa hakikuzungushiwa frame.

Natanguliza shukurani. Kupimwa nimeshapimwa na cheti ninacho.
 
mh kaka hiyo miwani ni bei kubwa sana tafuta frame nzuri tu ambayo ina half frame yake inakuwa inafunika nusu tu au robo ya kioo,, otherwise sidhani aina hiyo kama ina bei rahisi.

Kioo inategemea unataka cha plastic au vile vigumu, na je ni kile cha kubadilika rangi kwenye jua au kipi, nenda pale survey kuliko na mgahawa wa EURO H kuna maduka mengi na kuna duka wanauza miwani na wana daktari wao naona kuna nafuuu kidogo hapo
 
Nakushauri utafute miwani kwa ajili ya afya ya macho yako, achana na usharabaro wa fasheni
 
Back
Top Bottom