Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Jamani mimi na familia yangu 2nasumbuliwa na ugonjwa wa macho red eyes, tu2mie dawa ipi? Mana macho yanawasha kweli
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari Great Thinkers? Ninaulizia namna ya kuyatoa Macho Makengeza,Mdogo wangu anashindwa hata kumwangalia mtu usoni kwa muda mref,Umri wake ni miaka 18. NISAIDIENI WANA JF
0 Reactions
17 Replies
7K Views
inachukua muda gani kwa mume kufanya tendo la ndoa tang mke ajifungue? sitaki kuisaliti ndoa yangu. nawasiliasha.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani ee.. Hivi hili neno Alovera limekuwa kigezo cha makampuni ya bidhaa kupata fedha nyingi? Yaani mpaka naboreka sasa, utakuta Dawa ya Meno,Mafuta ya kujipaka,Sabuni,Dawa za nywele,Vidonge...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Eleza, mimi nitaelezea kesho
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nina mdogo wangu mwenye umri wa miaka 16 ametokea uvimbe kwenye matiti,yani huo uvimbe unakuwa mgumu mgumu vile alafu ukimshika kwa nguvu unauma hii ni kwanini?
0 Reactions
14 Replies
14K Views
2 Reactions
5 Replies
2K Views
WanaJF Naomba kufahamu TIBA ya ugonjwa huu unanisumbua sana Thankx!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wapendwa wana Jf, Naombeni msaada wa tatizo langu;ni miezi 5 sasa toka nifunge ndoa.Mwez huu mwanzoni limetokea tatizo ambalo nashindwa kulielewa hasa chanzo chake nini.Nimekua kila...
0 Reactions
17 Replies
14K Views
Wakuu kikohoz changu ni kwa kubanja msaada plz dawa gani ntatumia nikapona haraka!
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Marekani cha Boston umesema unywaji wa chai vikombe viwili kwa siku huongeza uwezekano wa mwanamke kupata ujauzito. Katika utafiti uliohusisha wanawake 3,600...
0 Reactions
3 Replies
15K Views
Ndugu wana JF natanguliza shukrani kubwa sana kwa jukwaa hili........ takribani kila siku kumekuwa na Thread humu jukwaani za matatizo ya nguvu za kiume, japo zinakuja katika picha tofauti, nami...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
WanaJF mambo vp? Nimeshindwa kujielewa sijui hili ni tatizo au vp.Sijawahi tumia dawa ya aina yoyote ile ya kuongeza nguvu za kiume lakini cha kushangaza ninaweza piga mzigo mara saba kwa siku na...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari? Nahitaji msaada mwenzenu hali sasa ni tete, maisha yanaenda kombo natamani niwe safarini kila siku. Tatizo ni kwamba I am one minute man. Iko hivi, mwenzenu goli moja hunichukua nwastani...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Hello jf guys i need ushauri wenu, imekuwa almost 1 month doing mazoezi lakin still sijapata matokeo mazuri WHAT I WANT TO BE: SIX PACK ABS kupata visible six pack abs. kwa anaejua...
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Kifua Kikuu Kinarudi Kwa Kasi - Safari Hii Haitibiki!!! Wadau, ugonjwa wa kifua kikuu kinarudi kwa kasi duniani. Huko London, Uingereza watu wanaambukizwa ile mbaya. Ile tiba ya kawaida ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ugonjwa wa matende ni aina ya ugonjwa unaosababisha ngozi na tishu zilizo chini ya ngozi ya mwanadamu kuwa nene (thickening of skin and underlying tissue).Ugonjwa huu huathiri miguu, mikono...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana jamvi mimi binafsi napenda kutumia fursa hii KUMSHUKURU huyu Mzizi mkavu, kwa kweli amekuwa ni msaada sana kwa ss wana jamvi tulioleta matatizo yetu humu. Shukurani sana mkuu Mungu...
13 Reactions
27 Replies
9K Views
Kuna rafiki yangu amekuwa na matatizo ya kifamilia alitofautiana na mke wake, mwisho wa siku mkewe akawa anataka watengane jamaa akawa anajaribu kila hali kusuluhisha. Japo tatizo lenyewe halikuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi nna tatizo ambalo linaninyima raha sana! Tangu naimevunja ungo nimekuwa na tatizo la kutokuwa na mpangilio mzuri wa hedhi. Kwani nnaweza nikapitisha miezi miwili hadi mitatu bila ya...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom