Mwanaume kuwa na uvimbe kwenye matiti

miksel

Member
Jan 5, 2011
63
6
Nina mdogo wangu mwenye umri wa miaka 16 ametokea uvimbe kwenye matiti,yani huo uvimbe unakuwa mgumu mgumu vile alafu ukimshika kwa nguvu unauma hii ni kwanini?
 
mimi sio dokta,ila vivimbe vivimbe hivyo,sio kitu kizuri.kwa nini asiende hospitali?kwani cancer za kwenye maziwa kwa wanaume pia zipo.pengine ni nothing ila ni vizuri aende akaangaliwe
 
Ni vizuri akaenda hospitali, akaonwa na dr mapema iwezekanavyo. Ni kweli cancer ya matiti kwa wanaume inatokea japo mara chache.
Pole sana, Mungu awaponye
 
Mkuu hakuna cha cancer hapo wew ni she au he??
Kama ni he unashangaa nin sasa ? Wew hujawahi kutwa na hali hiyo??

Mkuu usiwe na wasi ni barehe tu hizo.
Akikua na akianza ku do hivyo vivimbe vita potea
 
Nina mdogo wangu mwenye umri wa miaka 16 ametokea uvimbe kwenye matiti,yani huo uvimbe unakuwa mgumu mgumu vile alafu ukimshika kwa nguvu unauma hii ni kwanini?

Wavulanawengi huweza kuona aina ya uvimbe kwenye matiti wakati wa miaka ya mwanzo ya kubalehe.Kijana anaweza kuhisi mapema chini ya chuchu moja au zote mbili. Matiti yake yanawezapia kujisikia kutuna au hata kuuma. Baada ya miezi michache, au hata mda fulani,uvimbe hupungua au potea kabisa. Kwa hiyo basi kuvimba kwa maziwa kwa vijanawakati wa balehe ni kawaida, na hii huitwa pubertal gynecomastia, na hukutokanana mabadiliko ya homoni wakati wa kubalehe. Mkuu usiwe na wasisi. Umri huo niwa balehe!.
 
mimi sio dokta,ila vivimbe vivimbe hivyo,sio kitu kizuri.kwa nini asiende hospitali?kwani cancer za kwenye maziwa kwa wanaume pia zipo.pengine ni nothing ila ni vizuri aende akaangaliwe
si uvimbe wote ni cancer!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mtoto ashakuwa ki-dume huyoo..

amebalehe, cha kufanya hapo ni kukaa nae na kuongea nae ki-utu uzima asije akijiingiza kwenye ngono zembe. kama huwezi mpele kwa watoa ushauri na nasaha. Au kwa mjomba wake aongee nae
 
Gynacomastia. Sio maradhi. Awache kuyachezea na kuyaminya. Mara nyingi yanapotea afikapo miaka 18 hadi 22.

Good luck.
 
Gynacomastia. Sio maradhi. Awache kuyachezea na kuyaminya. Mara nyingi yanapotea afikapo miaka 18 hadi 22.

Good luck.

Thanks mkuu lakini mbona hata rafiki yake mmoja alikuwa nayo alafu akayaminya yanaelekea kuisha
 
Mkuu hakuna cha cancer hapo wew ni she au he??
Kama ni he unashangaa nin sasa ? Wew hujawahi kutwa na hali hiyo??

Mkuu usiwe na wasi ni barehe tu hizo.
Akikua na akianza ku do hivyo vivimbe vita potea
So akianza ku do (X) vitaisha au
 
mimi sio dokta,ila vivimbe vivimbe hivyo,sio kitu kizuri.kwa nini asiende hospitali?kwani cancer za kwenye maziwa kwa wanaume pia zipo.pengine ni nothing ila ni vizuri aende akaangaliwe

Thanks mkuu kwa ushauri wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom