Nisaidieni najitahidi kupiga puchu lakini haisaidii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni najitahidi kupiga puchu lakini haisaidii

Discussion in 'JF Doctor' started by KIBURUDISHO, Mar 31, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  WanaJF mambo vp? Nimeshindwa kujielewa sijui hili ni tatizo au vp.Sijawahi tumia dawa ya aina yoyote ile ya kuongeza nguvu za kiume lakini cha kushangaza ninaweza piga mzigo mara saba kwa siku na mfululizo kwa wiki na hata mwezi na hii imepelekea kumchosha sana mke wangu nimejaribu kutumia mbinu ya kabla sijalala napiga nyeto ili kupunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa lakini naona haisaidii kitu na huu ni mwaka wa nne nikiwa na tatizo hili sasa nimeshindwa kujielewa.Tafadhalini naombeni msaada kwa wenye uzoefu wa mambo haya na sii kunikashfu/utani.
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nami nitarudi kuchungulia majibu...sounds challenging!..
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wengine wakipiga single wanakuwa choka mbaya, wanalala fofofo hadi jioni ya kesho tena, wewe unajiona abnormal?...huh!
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Good promo!
   
 5. z

  zilakina JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Pole na hongera,subiri wataalamu waje kukupa darasa....
   
 6. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  kama mie vile!
  Hivi nan kakuambia kupiga punyeto kunamaliza hamu we unajiongezea matatzo kwa nyeto acha then kaa mwezi bila kumuomba wife mzigo ukiweza jua umepona.
   
 7. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hilo ni tatizo au 'talent'?
   
 8. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  tumia mafuta ya taa weka kwenye menu na fatilia diet ya makasisi itakusaidia.
   
 9. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  mkuu haya yalikuwa mambo ya boarding.hii mbinu tuulikuwa hatuijui zadi ya kulalamika tuuu msosi una ,mafuta ya taa..hiyo kitu it can be controled through pavlov experment.
   
 10. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  mkuu haya yalikuwa mambo ya boarding.hii mbinu tuulikuwa hatuijui zadi ya kulalamika tuuu msosi una ,mafuta ya taa..hiyo kitu it can be controled through pavlov experiment.(conditioning theory)
   
 11. y

  yplus Senior Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo ni kwamba unatumia muda mwingi kuwaza sex,unajua sex inaongozwa ha hisia zinazo amsha homon.
  Nakushauri tumia muda mwingi kufanya kazi na kufanya mambo ya maendeleo.kama ni mwanachuo au mwanafunzi,tumia muda mwingi kusoma na pale unapokuwa na mpenzi wako uwe unaridhika.too much any thing is hamful.
  hiyo ni hatari hata kwa afya yako na ukimata mwanamke mwenye tatizo kama lako,hali ndo ingekuwa mbaya zaidi.maana mngekuwa mnadu 24hrs.
   
 12. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Ndugu kama ni kuwa bz basi huwa niko na kazi za mchana kutwa na hata nikitoka safari ndefu nikiwa nimechoka sana ninapooga tu ninaweza kwenda uwanjani bila tatizo lolote lile.
   
 13. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Mh!napita 2.
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Nakuuliza Maswali Je wewe una umri wa miaka mingapi? unafanya kazi gani?
   
 15. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Punyeto

  Punyeto ni kitu ambacho huja kawaida kwa wavulana wakati wa kufikia umri fulani.Hauhitaji mafundisho yoyote.Na katika baadhi ya kesi, inaweza kuendelea hadi kuwamtu mzima, na inaweza kudumu katika maisha yote. Ni maarufu miongoni mwawavulana kwa sababu inatoa au kupunguza matatizo yao ya kuchanganyikiwaktuokakana na kutojamiiana, na haina hathari yoyote katika kijamii, ila inaweza hatarisha kutotamanimpenzi wako. Aidha, ni shughuli ya siri, hakuna haja mtu kujua ninikinachoendelea huko bafuni au jinsi ya kuifanya.

  Wazaziwamekuwa wakiwakanya watoto wao kutofanya hivyo. Wazazi huogopa au huwa nawasiwasi zaidi kwa ajiri ya kejeli yakijamii na kwamba huenda punyeto baadaea ikaharibu afya za watoto wao. Lakini sasa, masuala yaafya ya Punyeto
  Takwimuzimeonyesha kuwa angalau 87% ya wanawake wote na 95% ya watu wote wamejaribu kupigapunyeto, (kwani kwa mwanamke husgua kisimi ili apate orgasm, hiyo ndo aina yapunyeto kwa mwanamke). Ni jambo la kawaida kwamba watu wanapuuzia afya zao nakupiga punyeto, lakini tatizo hili kwa baadae humuingia mtu kichwani na kuwanalifikiria tu, na hivyo kufanya awe anawaza kufanya mapenzi saa zote, nahumsababisha kupiga punyeto mara kadhaa kwa siku. Kitendo cha kufikirianakufanya kila siku chaweza hatarisha uimara wa uume wako kusimama kwa mdamrefu na pia neva zako kuharibika.
  Hebu kwanza tujaribu kuangalia inavyo kuwa. Wakati wa kufanya hivyo, ubongo huamshahamungono. Hii ni hufanyika kwa kuhamasisha mfumo wa neva huitwaoparasympathetic nervous system. mfumo wa parasympathetic kuchochea ujasiri wachombo cha uzazi, ambacho huamka baada ya kusuguliwa kwa mda. Aina hii yamawasiliano kati ya mishipa ya uume hufanywa na kemikali ijulikanayo kamaasetilikolini. Asetilikolini husababisha msisimko na kuchochea neva za pembeni Peripheral nervous system.
  Ini pia hujumuishwa. Moja ya kazi ya ini ni kutoa kemikali ili kuruhusuutendaji wa mfumo wa neva. Kemikali hizi hujulikana kama neurotransmitters. inihutoa neurotransmitters kama vile dopamine na serotonin, pamoja na asetilikolini.Sasa, unaweza jua kwamba kama ini litakuwa na kazi ya ziada ya kutoa hizikemikali basi litaanza taratibukushindwa kufanya kazi yake kuu ambayo ni ya kutolewa Enzymes (vimengÂ’enyo) na misaadakatika majukumu kadhaa ya mwili, ikiwa ni pamoja na uyeyushaji wa wa chakula nahomoni. tezi ubongo na Adrenal pia hutoa homoni nyingi na neurotransmitterswakati wa tendo hili, kama vile norepinephrine epinephrine, na dopamine.

  Kama hupiga punyeto mara moja kwa kipindi fulani au baada ya mda mrefu, kemikalihizi hurudi katika hali yake ya kawaida dakika chache baada ya kuridhik (kupataorgasm). Hata hivyo, kupiga punyeto mara kwa mara husababisha uendelaji wakutolewa kwa kemikali hizi hivyo kuharibu mfumo wako wa neva na kukufanya kuwaunawaza hayo mambo

  Kwa kawaida, wakati mfumo waparasympathetic neva unaharibika,uwezo wa nguvu zakiume pia hupungua au ahta kuwa *******. Uhanithi ni kawaida sana kwa wazee, na pia yawezatokakana na baadhi ya madawa. Lakini uhanithikwa vijana unawezatokana na upigaji punyeto wa mara kwa mara. Pia punyeto ya mda mrefu hukufanya kumwagamapema wakati wa kujamiana (premature ejaculation) au usiwe na hamu kabisa yampenzi. Kutokana na ukweli kwamba uume wako unasimama mara kwa mara basi hata misuri yake huishiwanguvu. Au kwa watu wengine kutokana na kemikali kuwa zinatoka mara nyingi basihuweza kusimama ghafla na kumletea aibu mbele za watu.


  kutokana na kufikiria mambo hayo tu ,unaweza jikuta unaharibikiwa kifikira.


  inaweza kuwa vizuri kufanya hivyo lakini isiwe mara kwa mara..


   
 16. k

  kamili JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Kufuatana na kitabu kinachoitwa Man and sex ambacho kimeandikwa na sexualogist maarufu kutoka Marekani kimeelezea kwa kina mambo mengi kuhusu ngono kwa wanamme. Kwa suala lako wamesema siyo tatizo au linaweza kuwa tatizo pale tu ukiishi na mwenza ambaye hawezi kustahimili mara zote ulizozitaja. Mwandishi huyo anaelezea vizuri kuwa wako wanaume wanaofanya mara moja kwa siku tena kwa muda mfupi, lakini Mwanandishi anaendelea kueleza kuwa kwa kuwa wapo wanawake pia ambao uwezo wao ni kufanya mara chache tena kwa muda mfupi basi hao wakikutana na wale wanaume wa mara chache tena kwa muda mfupi inakuwa haina tatizo. Na wanaume wengine wanauwezo wa kufanya mara nyingi tena kwa muda mrefu, Na kwa kuwa wapo wanawake pia ambao wana uwezo wa kufanya mara nyingi na kwa muda mrefu pia, basi hao wakikutana na wale wanaume wanaofanya kwa muda mrefu huwa hakuna tatizo.

  Mwisho mtalaamu huyo emeeleza vizuri nini cha kufanya kwa wale ambao wana uwezo mkubwa lakini wenzi wao uwezo wao ni mdogo, yaani me against fe or vise versa.
  Tafuta hicho kitabu.
   
 17. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mwambie mkeo akuchanganyie mafuta ya taa kidogo kwenye msosi kama boarding school ili ukate mwani/nye*g*
   
 18. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  tulianza hivyohivyo..... Sasa hata kimoja shida

  mpiga ngumi ukuta huumiza mkonowe
   
 19. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nimeupenda huo msemo.
   
 20. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  nenda hospital
   
Loading...