Ya Mwisho naacha Mapenzi...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Mwisho naacha Mapenzi......

Discussion in 'JF Doctor' started by majogajo, Feb 28, 2012.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF natanguliza shukrani kubwa sana kwa jukwaa hili........ takribani kila siku kumekuwa na Thread humu jukwaani za matatizo ya nguvu za kiume, japo zinakuja katika picha tofauti, nami nnakuja hapohapo..... Tatizo langu nimekuwa nnapata wakati mgumu kusimamisha wakati wa mechi. picha yenyewe inakuwa hivi... Ninapo panga appotment na bibie inshu inakuwa imesimama sana, mpaka bibie anapokuja geto bado inshu inakuwa imesimama ikiomba kitu, lakini tatizo ni pale nnapoanza kumuandaa bibie inshu inagoma na inalala dolo,najitahidi kupunguza mawazo,stress na kumpa manzi kila aina ya maandalizi, nagusa huku na huko kwa manzi ili kumweka katika hali nzuri na kuipa nafasi inshu isimame yenyewe lakini inashindikana na nakomea kuiangalia inshu tu. na gemu linakuwa mwisho hapo. kinachonishangaza tukiachana na bibie na akinipigia simu kuwa ashafika nyumbani inshu inasimama tena kuomba mambo. hii imetokea mara nne, na imefikia kipindi manzi amechoka na ameahidi ikitokea tena yeye na mimi basi maana amenivumilia sana na mimi jinsi nnavyompenda nahic ndo itakuwa mwisho wangu kwenye ulingo wa mapenzi na itanisaidia kupunguza kujiaibisha mbele za watu. Nsaidieni nifanye nini? ni tatizo la kawaida au nimerogwa? usinkebehi maana JF ndo sehemu ya kupima intelligence ya mtu.
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu pole sana, kulingana na maelezo yako inaonekana physically huna tatizo lolote ila psychologically unakuwa so much exited, na hofi ya kuwaza Kama utaperform the game so hayo huchangia, hebu relax and let things happen hapo na amekueleza next time ikishindikana atakuacha napata hofu ndo utashindwa kabisa. Please relax and hata mkiwa nae

   
 3. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  NI PM mkuu.
   
 4. no9

  no9 Senior Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nahisi ni mara yako yakwanza kuanza hayo mambo mdomoni unaongea sana,vitendo vinakushinda siku moja mchukue ushinde naye chumbani kula kunywa humohumo mkiwa katika mavazi ya usiku ukiweza hata kijiwicky kidogo na ule ushibe jongoo litapanda huo mtungi.
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  hii ni more psychological zaidi ya tatizo
  Tulia na usiwaze sana na nafikiri unakuwa so exicited wakati unamuandaa mwanamke wako
   
 6. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pole sana dogo.

  Lakini tuliza pupa unapokuwa na dem. Tatizo lako ni kule kujishughulisha kwa mkono ndiyo kunakupiga vita. Acha kwa wiki sita halafu jaribu kuji upgrade from your hand to a dame. :A S embarassed:
   
 7. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Acha kupiga PUCHU/Nyeto
   
 8. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,325
  Likes Received: 2,318
  Trophy Points: 280
  Yape likizo hayo mapunyeto yako alafu anza vi mazoezi utaniambia siku nyingine ukirudi alafu epuka kutumia gheto lenye joto kali maana joto linawaabisha sana wapiga punyeto.
   
 9. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  anyway ni pm.vitu vingine siwezi kumwaga hapa.
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  kwani mnasema aku pm watu wanataka pia kuelewa wakuu.
   
 11. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jaribu bibie mwingine uone kama itakuwa hivyo...
   
 12. ram

  ram JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,194
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Utakuwa umerogwa, sio bure! Unakumbuka ulimuacha yule demu kwa nyodo nyingi na yeye ameamua kukukomesha, mtafute profesa majimarefu yule mbuge nadhani atakusaidia
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  acha kupiga nyeto na kuangalia picha za ngono.
   
 14. LARRYBWAY

  LARRYBWAY Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nilikuwa na tatizo kama lako sema nw npo fit..watoto wananikubal c kiseche..fanya ivi kama ulikuwa unapiga nyeto wacha iyo tabia, kama ulikuwa na tabia ya kuchek picha za x acha hiyo k2..,piga sana mazoezi na ucmpanie demu ona kama starehe nyngne tuu
   
 15. F

  Father Peace Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anza mazoezi haraka,punguza usongo uliochanganyika na wasiwasi wa kuperform........otherwise jaribu demu mwingine,bongo hii usije kuta huyo demu ana jamaa keshampiga kamzizi!!!!!
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mungu anakupenda sana.
   
 17. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280

  Teh teh teh teh.
  Kumbe mwajuana vilivyo eeh?
   
 18. kisute

  kisute Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je hukuwahi kuwa na demu mwingine kabla ya huyu wa sasa?
   
 19. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Pole yako mkuu,hebujiulize maswali je hapo awali uliwahi kua na msichana mwinginena hali hii ilijitokeza? na haikuwahi kujitokezaje je huyo binti yako wa awali uliachana nae katika mazingira gani?pia jaribu kumuuliza huyu mwenzi wako nae akupe historia ya kimahusiano then tunaweza kujadili mengine
   
 20. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,001
  Likes Received: 2,617
  Trophy Points: 280
  Soma kwa makini,hili tatizo huwa linakuja kama ulikuwa na tabia ya kufanya masturbation mara kwa mara kinachotokea ni kuwa unapokuwa na mtu wako ndani unapata aina flani ya ka-uwoga kitu kinachokusababishia upoteze muelekeo,pili kama sio mtu wa mademu sana hako ka-uwoga huwa kanakuwepo unapokutana na mwanamke vitu hivyo hutokea na unakosa kujiamini na hasa inapokuja kuwa unatakiwa uvae buti ndio inakuwa mbaya zaidi.USHAURI,kama unapiga pombe piga chupa yako moja au mbili wakati unajiandaa na mechi,kama sio mnywaji muone daktari atakupatia dawa ambazo zinaongeza msisimko na hamu ya tendo la ndoa ukitumia mara 2-3,acha halafu uone tatizo lako litakuwa limekwisha,huwa ni kisaikolojia zaidi,jaribu halafu utaniambia matokeo.
   
Loading...