Nimekata tamaa, msaada tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekata tamaa, msaada tafadhali

Discussion in 'JF Doctor' started by NDURUGUMI, Jan 23, 2012.

 1. N

  NDURUGUMI New Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari?
  Nahitaji msaada mwenzenu hali sasa ni tete, maisha yanaenda kombo natamani niwe safarini kila siku. Tatizo ni kwamba I am one minute man. Iko hivi, mwenzenu goli moja hunichukua nwastani wa dakika moja hadi mbili kutoka bila mwenyewe kupenda na baada ya hapo kitu kinalala doro,hata ufanyaje hakiamki mpaka kesho. Shemeji yenu wmanzoni alikaa kimya, nadhani ni kwasababu nilikuwa nawahi bao la kwanza lakini baada ya mapumziko ya nusu saa hadi saa mojanaweza kuendelea. Saivi hali imekuw mbaya, shemeji yenu amekuwa akilia na kuniambia anateseka na anahisi kuna kitu anapugukiwa na kuniambia isingekuwa kunipenda na mafundisho ya dini angetafuta mtu!!!!!!!!!!
  Njia za awali kutatua tatizo. Kwanza nilijaribu kutafuta kazi za nje ili kupima uwezo nako niliaibika, nikatembelea website mbalimbali hasa hapa jamvini na kukuta tiba kama vitunguu swaumu nikala na kuishia kunuka mdomo tu. Natumia asali kwa wingi lakini bado. Nampenda sana wangu na mwanangu lakini naona sasa nitakimbiwa mda si mrefu. Naombeni mtu anayefahamu tiba ya tatizo hili anisaidie kwani natamani kujiua sasa. Naombeni msaada tafadhali.

  UPDATES

  Kutokana na michango yenu mbalimbali nashukuru sana kwani kuna maendeleo kidogo katika tatizo langu hapo juu. Yafuatayo ni mabo niliyofanya mpaka sasa naweza naweza kuhold japo kwa dakika 10. Kwa kweli najihisi kupona. Nimefanya yafuatayo.
  1. Mazoezi mepesi ya viungo kila siku pamoja na kutembea kwa miguu weekend kwa saa 1
  2. Nimeacha nyama choma, supu na vyakula vyenye ,futa na sukari kwa wingi
  3. Nakunywa maji kwa wingi
  4. Nimeongea na wife na ameahidi kunipa ushirikiano katika hili
  5. Natumia ule mchanganyiko wa mzizi mkavu wa asali, tangawizi na pilipili manga
  6. Nakula matunda kwa wingi

  Nitazidi kuwajuza maana najua wengi tuna tatizo hili tupate ufumbuzi.

  Viva JF, alaaniwe mwenye mawazo ya kuifungia.
   
 2. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  1)Punguza
  mawazo Mkuu.
  2)Unapoingia uwanjani uwe full kujiamini,kama ni vita jione umeshinda kabla huja hujapigana.
  3). Usiwazewaze sana ugumu wa maisha ulivyo.
  4).Kula vizuri na fanya mazoezi.
  5).Epuka kujichua < punyeto>. Hii huchangia sana kupoteza hamu ya kujamiiana kwa kawaida.
  6)Nenda kituo cha tiba cha jirani ukachekiwe kama una magonjwa yoyote ya zinaa + kisukari na magonjwa ya moyo.
  MUHIMU: ASILIMIA 75 YA MATATIZO YA KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME HUSABABISHWA NA MADHARA YA KISAIKOLOJIA HASA-KUTOJIAMINI, WASIWASI,
  KUMBUKUMBU YA KUSHINDWA MARA KWA MARA!
   
 3. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 4. mudushi

  mudushi Senior Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  Pole sana kaka. Ucjali lina mwisho hilo. Fanya mazoezi ya viuongo kila siku 5dayz/week . haafu kuwa mtulivu, tuliza akili yako. aafu usiwe mtu wa pupa kabisa. umenielewa?
   
 5. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  wanaume mbona tunamatatizo namna hii..
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
 7. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kwanza hongera kwa kukubali kuwa una tatizo..second,punguza mawazo na jenga roho ya kujiamini they are very crucial in solving your problem..kumbuka sex haimanishi penetration peke yake,inategemea unamuandaa vp bibiye.devote most of your time in fore-play mpaka una hakikisha anakojoa atleast once before penetration.kuna wataalamu wanashauri wakati unasex hamisha mawazo yako yasiwe hapo kwa mfano fikiria mtihani mgumu ambao ulishawahi kufanya hii inapunguzaga kidogo speed ya kuwahi.also kuwa creative,unapohisi unakaribia chomoa mashine badilisha style,kile kipindi cha kukaa mkao mpya kinashusha hile hamu ya kufika kileleni.pia nikikumbuka enzi zangu za utotoni nilivyokuwa napiga punyeto i came across an article ambayo ilinisaidia kuprolong mambo,ukihisi unakaribia kumaliza chomoa mashine halafu kwa kutumia kidole gumba na kile kinachofuata bana kichwa cha uume kwa nguvu itaprolong mambo kidogo..foreplay sio lazima iwe kabla ya penetrative sex tu,uzalendo ukianza kukushinda rudi tena kwenye kumchezea umpagawishe zaidi mzee akipoa endelea....all in all kuwa creative....
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa kuchukulia tatizo lako hatua.
  Primature ejaculation inahusu inability ya kuvumilia hadi pale utakapo mridhisha mwenzio, wala sio swala la dakika (ila unaweza kujaribu hii calculator hapa, inahusisha miaka, race, nchi na mengine)
  kumbuka average ya mwanaume ni dakika 2:54, hivo kama unafika 2:00 sio mbaya sana. (source)
  Sometimes kuja haraka kunatokana na exitement yako ya kua na mke wako.
  Jaribu kuchukua muda mrefu zaidi kwa maandalizi hadi akili yako izoweye yale mazinginra, excitement itakua imepungua na itasaidia kumridhisha ndani ya dakika chache.
  Pia jaribu kufuta kumbu kumbu za kushindwa, mara nyingi ndio zina sababisha tatizo kuzidi kua worse.
  (souce kubwa:somo anae nifunda)
   
 9. N

  NDURUGUMI New Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawashukuru sana kwa michango yenu, of course nipo hapa jamvini since 2008, nimeoa 2010, nitaifanyia kazi michango yenu imenipa faraja kwa kweli.
   
 10. N

  NDURUGUMI New Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkubwa hiyo kwenye bold nimejaribu hataki anasema namkata stimu
   
 11. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Pole ndugu,jaribu kumuweka chini umueleze you can only do this kwa support yake
   
 12. GODLIVER CHARLE

  GODLIVER CHARLE Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kwanza usiogope
  pili fanya mazoezi hasa ya misuli inayohusisha viungo vya uzazi (kegel exercises)
  tatu mazoezi ya viungo kwajumla
  nne ule vizuri (balanced diet)
  tano jaribu pia kutumia kahawa kwa kiasi
  mwisho acha punyeto kabisa mkuu na jiandae kiakili na kisaikolojia kabla ya mechi uhakikishe una utulivu wa kutosha. Asante. Woga ni mwanzo wa kushindwa.
   
 13. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pole kwa tatizo lako man ila kama lina zidi na ufumbuzi haupatikani babu kandamiza viagra
   
 14. mudushi

  mudushi Senior Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wingu!!

  Hapana kaka!! Solutions zipo nyingi. Atafute atapata solution nzuri tu. Tusiishi kwa hizo VIAGRA.
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Viagra ina madhara makubwa kwa kuitumia kila siku.

  Potential VIAGRA Side Effects

  Safety is important. And VIAGRA has an established safety record of more than 10 years. But it helps to know about potential side effects.
  The most common VIAGRA side effects are:

  • Headache
  • Facial flushing
  • Upset stomach
  Less commonly, bluish vision, blurred vision, or sensitivity to light may briefly occur.
  In rare instances, men taking PDE5 inhibitors (oral erectile dysfunction medicines, including VIAGRA) reported a sudden decrease or loss of vision. It is not possible to determine whether these events are related directly to these medicines or to other factors. If you experience sudden decrease or loss of vision, stop taking PDE5 inhibitors, including VIAGRA, and call a doctor right away.
  In the rare event of an erection lasting more than 4 hours—also known as priapism—seek immediate medical help to avoid long-term injury. Learn more about priapism and VIAGRA.
  Sudden decrease or loss of hearing has been rarely reported in people taking PDE5 inhibitors, including VIAGRA. It is not possible to determine whether these events are related directly to the PDE5 inhibitors or to other factors. If you experience sudden decrease or loss of hearing, stop taking VIAGRA and contact a doctor right away.
  Other important information:

  VIAGRA can help most men with ED. But it's not right for everyone. Here are some other things you should know:
  Some men shouldn't take VIAGRA.

  Do not take VIAGRA if you take nitrates, often prescribed for chest pain, as this may cause a sudden, unsafe drop in blood pressure.
  Discuss your general health status with your doctor to ensure that you are healthy enough to engage in sexual activity. If you experience chest pain, nausea, or any other discomforts during sex, seek immediate medical help.
  VIAGRA should not be used with other treatments that cause erections. VIAGRA should not be used with REVATIO as REVATIO contains sildenafil, the same medicine found in VIAGRA.
  Some men should take a lower dose of VIAGRA.

  If you are older than age 65, or have serious liver or kidney problems, your doctor may start you at the lowest dose (25 mg) of VIAGRA. If you are taking protease inhibitors, such as for the treatment of HIV, your doctor may recommend a 25 mg dose and may limit you to a maximum single dose of 25 mg of VIAGRA in a 48-hour period.
  If you have prostate problems or high blood pressure for which you take medicines called alpha blockers, your doctor may start you on a lower dose of VIAGRA.
  VIAGRA does not prevent against sexually transmitted diseases, including HIV.
  VIAGRA has been shown to safely treat ED in men who have certain other health conditions.

  These conditions include:
  • High blood pressure
  • Heart disease
  • Diabetes
  • Depression
  • Spinal cord injury
  Talk to your doctor.

  Discuss your general health. Your ED symptoms. And work with him to see if VIAGRA is right for you.
  Check out Tom's story.

  See how a real guy addressed his concerns about the safety of VIAGRA

  Potential VIAGRA Side Effects - VIAGRA® (sildenafil citrate)
   
 16. D

  Dr Chinyu New Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mjamaa yuko correct cheza na saikologia yako tu jione mshindi kabla hajanza nadhani ukifanya hivyo utatuletea post ya ushindi na si kukata tamaa
   
 17. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Short term solution. Saa chache kabla ya mechi tafuna chocolate na au kunywa redbull
  Ila hii tabia ya mtu akiwa na tatizo anakuja na ID mpya ina walakini
   
 18. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  we toa ushauri maswala ya id mwachie mwenyewe.
   
 19. N

  NDURUGUMI New Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wengine ID zetu rasmi zinajulikana, na haya mambo ni private ndugu yangu ndio maana tunatafuta alternative.
   
 20. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mwali,Sidhani kama huyu jamaa anahitaji ku romance sana sza kuharibu mambo akaishia njiani bora awe anasonga front tuu.
   
Loading...