Jana nakohoa kwa kubanja msaada wa dawa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jana nakohoa kwa kubanja msaada wa dawa!

Discussion in 'JF Doctor' started by G spanner, Apr 3, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wakuu kikohoz changu ni kwa kubanja msaada plz dawa gani ntatumia nikapona haraka!
   
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu, umecheki na mkojo wa punda?
  kama unabanja tayari dalili ni nzuri, kuliko kingekuwa kikavu.
   
 3. S

  Smarty JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Kanunue mafuta ya habbat sauda kwa kingereza black seed oil ambayo ni pure tumia kijiko kimoja kwenye kikombe cha kahawa.. Ndani ya masaa 12 utapona ukiona bado kunywa tena.. Hii ndo dawa natumia mimi inanisaidia sana kwa kikohozi..mafuta ya habba soda unaweza kuyapat kwenye maduka ya dawa za kiarabu.. Haizidi buku 2 au 3..
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kubanja ni dalili ya kuwa na uchafu kwenye mapafu. Kama hupati homa, wacha ubanje na itastop irritation kwenye mapafu ikiwa expelled. Good luck.
   
Loading...