Kwanini binaadamu lazima alale? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini binaadamu lazima alale?

Discussion in 'JF Doctor' started by KAKA A TAIFA, Jul 18, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Eleza, mimi nitaelezea kesho
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Kwani unalazimishwa kulala, wewe dunda kazi tu, ila hata MUNGU alifanya kazi, '............... ikawa mchana ikawa usiku..................' sasa wewe toa usiku, then kula mzigo.
   
 3. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Binadamu ni kama mashine yenye umeme,hivyo vitu vinavyofanywa na mwili ni masiliano ya chemikali,vitu kama waya(neurotransmitters)misuli na mifupa.ili mtu aweze kufiri vizuri lazima apate kulala usingizi wa kutosha.kulala kunasaidia kuongeza uwezo wa kufikiria,kufanya maamuzi,kufanya utekelezaji.haya yote yanafanyika kwa kupumzisha ubongo. Kila umri unahitaji masaa kadhaa ya mapumziko ,:-watoto masaa 16,vijana masaa9 na watu wazima masaa 7 mpaka 8. Kulala kunasaidia mwili na akili katika kufanya kazi yake.mfano panya wanaishi kwa miaka 2-3 ila wakikaa bila usingizi basi na misha yafupika kuwa wiki tano.pia hupnguza kinga za mwili,usingizi huongeza homoni za kukua kwa watoto.kulala kunaongeza mwili kuzalisha seli(cell),usingizi unasaidia kupunguza msongo wa mawazo na uchovu.
   
 4. J

  Jullywayne New Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ndio ukweli bwana
   
 5. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  tunashukuru kwa kutuelimisha kuhusu umuhimu wa kulala. Asante.
   
 6. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ukweli wa kuogezea ... Ni kuwa tunalala kwa sababu tuna kula!!
   
 7. p

  pendolove New Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kulala ni muhimu sana aisee asante kwa maelezo kaka a taifa
   
 8. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  tunalala ili tuamke...........
   
 9. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jibu tosha na wala sina la zaidi
   
Loading...