Mzizi mkavu

Jonogomero

Member
Feb 8, 2012
99
27
Wana jamvi mimi binafsi napenda kutumia fursa hii KUMSHUKURU huyu Mzizi mkavu, kwa kweli amekuwa ni msaada sana kwa ss wana jamvi tulioleta matatizo yetu humu. Shukurani sana mkuu Mungu akuzidishie hekima na busara na maisha marefu ili tuendelee kupata msaada wako. Aksante
 
Ni kweli. Mh. MziziMkavu ni msaada sana hususan kwenye masuala ya afya na utabibu.
Mwenyezi Mungu amzidishie elimu yenye manufaa kwa watu.
Amiin.
 
Leo amebandika hapa majamvini picha ambayo imeboa members wengi sana!

Lakini vinginevyo ni mtu wa msaada sana, na amewasaidia watu wengi sana hasa kwenye masuala ya Nguvu za Kiume!
 
Leo amebandika hapa majamvini picha ambayo imeboa members wengi sana!

Lakini vinginevyo ni mtu wa msaada sana, na amewasaidia watu wengi sana hasa kwenye masuala ya Nguvu za Kiume!

hata mimi mzizi amenisaidia kupata nguvu na kitambi....
 
0283.gif

ni kweli mimi pia natoa shukrani za dhati kwa mzizi mkavi, kinga'ast pamoja na members wote wa jf doktors kwa michango mingi ambayo imekua msaada katika afya zetu
 
Kule uchangani tunasema.........Aika mmbe Mzizimkavu kwa kazi yako ya kuokoa wanajf na watu wengine kwa ujumla...kaz buti babake............mburaaaaaaaaaaaaaaaa haya mangi...:thinking:
 
Leo amebandika hapa majamvini picha ambayo imeboa members wengi sana!

Lakini vinginevyo ni mtu wa msaada sana, na amewasaidia watu wengi sana hasa kwenye masuala ya Nguvu za Kiume!

Kumbe mkuu anayo tiba ya hiyo maneno kwenye BOLD.
Itabidi nimtafute kimya kimya...................................................LOL
 
Aseeeee!!!
Duh!!

Nakumbuka mwaka jana kulikuwa na thread iliyokuwa imefanana na hii hapa......exactly!!!! STUKA!!

:thinking::thinking:
 
Wana jamvi mimi binafsi napenda kutumia fursa hii KUMSHUKURU huyu Mzizi mkavu, kwa kweli amekuwa ni msaada sana kwa ss wana jamvi tulioleta matatizo yetu humu. Shukurani sana mkuu Mungu akuzidishie hekima na busara na maisha marefu ili tuendelee kupata msaada wako. Aksante

Kakusaidia nini kikubwa sana?? hata mimi nasaidia watu kule Chit Chat..LooL
 
Ama kweli huyu Member Mzizi mkavu amekuwa msaada mkubwa sana ktk mtandao wetu na hata wale wote wanapitia mtandao huu!

Mi namkumbuka sana ktk ile thread aliyoweka aliyoeleze matumizi na faida ya asali ktk miili yetu na hata naikumbuka ile thread ya unywaji wa soda ilivyo na madhara ktk miili zetu.

Mi mwenyewe namfagilia sana na Mwenyenzi MUNGU ampe baraka na aendelee kuelimisha jamii!

Mzizi mkavu/Ntakufagilia daima! Kama ilivyo mtandao wetu wa JF!
 
Asanteni sana kwa shukrani zenu na mimi nawapendeni kwa maneno yenu ya busara na mawazo yenu tuwe mfano bora katika kuwasaidia Watu na katika kuijenga Nchi yetu. Nawapongezeni kwa kunipa moyo na shukrani zenu kidumu Jamii forums wadumu wanachama wote wa Jamii forums mwenyeezi Mungu awabarikini wote kwa ujumla ameen.
 
Mzizi mkavu big up,nikupe ushauri.
Anzisha kikombe cha dawa una wagonjwa wengi JF.
 
Mbali ya shukran zangu kwake bado huwa najiuliza maswali naninashindwa pata jibu na nishawahi muuliza swali hakunijibu.

Hakika kwa mchango wake hapa jamvini huwa nataman sana kufaham ofisi zake zilipo ama kama hana ofisi utujuze twaweza onana naye vipi kuna matatizo mengine hayahitaji subira ya majibu ya post.

Mwalimi siso MZIZI MKAVU
 
Kwa sasa mimi sipo Bongo ukitaka kuwasiliana na mimi niandikie email yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com) Mkuu.
 
Back
Top Bottom