Macho Makengeza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Macho Makengeza

Discussion in 'JF Doctor' started by Aleyn, Mar 31, 2012.

 1. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Habari Great Thinkers?
  Ninaulizia namna ya kuyatoa Macho Makengeza,Mdogo wangu anashindwa hata kumwangalia mtu usoni kwa muda mref,Umri wake ni miaka 18.
  NISAIDIENI WANA JF
   
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Help please!!
   
 3. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kazi ya mungu haisahihishwi! avae miwani ya kusaidia!
   
 4. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Mkuu Haya Matatizo hayatokani na Uwezo wa MUNGU.
   
 5. cpt

  cpt JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 60
  nilickia wa2 wa iringa huwa wanachanjwa pemben ya macho ili kuepusha makengeza kwa watoto!sa cjui kwa hyo wakwako km inaweza kumsaidia. . . . .
   
 6. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa mchango wako kiongozi
   
 7. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  sidhani km inasaidia kwani hata mm nina makengeza na nilipokuwa mdogo nilipelekwa uko iringa na wala haikusaidia ajaribu kuvaa miwani inaweza ikamsaidia kwani hata mimi imenisaidia kwa kiasi flani
   
 8. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Brown,kupona haiwezekani?
   
 9. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  sina imani km yanaweza kuisha kabisa ila awe anafanya mazoezi ya macho marakwa mara (unachukua kitu kama pen alafu unaweka katikati ya macho "unakitizama icho kitu" km kwa dk 10)
   
 10. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa Ushauri wako.
   
 11. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Nenda CCBRT wanafanya hiyo correction ya macho!
   
 12. j

  jmnamba Senior Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I believe ccbrt they can help... Usikate tamaa hata pawe na foleni gani.
   
 13. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  CCBRT Ipo Wapi Mkuu?
   
 14. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  CCBRT ipo wapi Kiongozi?
   
 15. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nimesema hivyo kutokana na misemo ya kiswahili kwamba uzaliwacho nacho umeumbwa nacho, na uumbaji ni kazi ya mungu. kwa kifupi hapa nkuelezea kuhusu makengeza (macho kumchuzi).
  makengeza au heterotropia kwa kawaida yanatokana na ukosefu wa uratibu kati ya misuli ya macho (extraocular), ambayo kwa kawaidahutakiwa ifanye kazi kwa pamoja nakuongoza macho kuweza kuwa na mwelekeo wa aina moja.
  Makengeza yanaweza kuwa ama ugonjwa wa ubongo katika kuratibu macho au misuli husika kuwa imekakamaa.Makengeza yawezakuwa ya kuzaliwa nayo au kuyapata ukubwani.

  Matatizo ya makengeza hulekebishwa kiuigumu sana kwaushrikiano na wataalamu wa macho ( orthoptists na ophthalmologists).
  kuana aina mbalimbali za makengeza.
  1.Makengezayatokanayo na kupooza kwa neva III na IV (oculomotor na trochlear nerves)ambazo mtu huzaliwa nazo
  2.kopooza kwa neva ya Sita (abducent) na kusababisha kupooza kwa misuri ya nje yamacho (extraocular mascles) na hivyo huitwa ophthalmoplegia.
  3. Makengeza pia huweza sababishwa na kitu iitwayo Kearns-Sayre syndrome, lakinihii hutokea baada ya miaaka 18-20. Ni matatizo ya neva za misuri ya nje yamacho.
  Aina nyingine ya makengeza ni ya macho yote kuaangalia ndani au kuangalia pandetofauti (Convergent kuambatana / mchanganyiko kuambatana Esotropia
  Exotropia).

  Kunasababu au aina nyingi za makengeza mfano ,heterotropia microtropia,heterophoria esophoria,exophoria, duane syndrom, wima strabismus ypertropia andhypotropia nk.)
  Dalilizake ni kwamba mtu hawezi ngalia kitu kwa macho yote, yaani tashwira ya kituhuweza wakti mwingine pelekwa tofauti, na kumfanya mtu kuona vitu viwiliviwili, au anpobalee huwa anaonekana kama ana mcho yaibu,
  Ukiwamdogo unaweza fanyiwa upasuaji, lakini mara nyingi kuwafunza watu hao kutazamakitu kimoja kwa makini ili kuyapatia macho mazoezi au kupewa miwani.


   
 16. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kama unatokea kariakoo, panda basi la masaki na shuka kituo kinaitwa macho. Ukifika hapo uliza na utaelekezwa. Pia nilisikia wanafanya matibabu hayo pia. Kila la heri mkuu.
   
 17. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  kbd asante sana.
   
 18. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Vicent Mungu akubariki,nimekuelewa Vema sana.
   
Loading...