pedi za mimea kutoka kampuni ya tasly(wakina dada) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pedi za mimea kutoka kampuni ya tasly(wakina dada)

Discussion in 'JF Doctor' started by jembe12, Oct 24, 2012.

 1. j

  jembe12 Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pedi salama kwa wanawake utafiti wa kitaalamu unaonesha kwamba matatizo ya hedhi,kukoma kwa hedhi na vimbe katika kizazi yanazidi kuongezeka moja ya sababu ni matumizi ya pedi zisizo salama,pedi salama zipo nchini ni jibu kwa kurekebisha mzunguko wa hedhi yako yaani siku zako,kuua vijidudu wanaoweza kushambulia kizazi,tumia kwa kuzibua mirija ya uzazi,zinafyonza usafi na kupunguza acid kwenye kizazi,sasa maumivu ya tumbo na kuumwa wakati wa hedhi basi,zinakinga na kuondoa miwasho fangasi na kujikuna basi,zitakusaidia kupanga uzazi kwa kuhesabu siku vizuri,zinafaa hata kwa walio koma hedhi zao,huboresha viungo vya uzazi kuvifanya visizeeke haraka

  AINA ZA PEDI:
  • Day dry net kwa mchana idadi 15
  • Day cotton kwa utokaji mwingi mchana idadi 15
  • Night cotton kwa utokaji mwingi usiku idadi 15
  • Pantiliner kwa usafi wa kila siku idadi 30
  kwa msaada
  ma email; jembe86@gmail.com
   
Loading...