Mimba

kamkoda

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
396
71
Wana JF,

Hivi ni kweli mwanamke anaweza kupata mimba akiwa na bikira hata kama haijaondolewa? mara ya mwisho binti flan aliniambia ana bikira nikajitahidi sikufanikiwa nikajikuta manii zinanitoka na kumwagikia juu ya kinena!

Baada ya siku saba akaja na kipimo kinachosema ana ujauzito!?....Inawezekana? nahisi kushikishwa!

Jambo la ajabu ananishauri tuitoe lakini mimi siafiki kabisa jambo hilo kama ni kujifungua nitalea damu yangu. Naomba ushauri!
 
kimbia jombaaa.....
 
Hili swali linawafaa wazazi wako waliyekuzaa mtoto kama wewe ambaye kimsingi hufai. Unashindwa kitu kidogo kama hicho halafu kwa ujuha wako unatangaza? Nenda jando mwanangu uachane na ujuha.
 
Naomba tuwe tunaheshimu mawazo ya mtu na shida yake..uwezo wa kufikiri binadamu hatuko sawa wala kuwaza pia hatuko sawa..hii tabia imenza kuota mizizi humu ndani mnapoteza maana nzima ya Great thinkers kama mnaanza kuwa mnadharau post za wenzenu..kama hauna la kuchangia ni bora kukaa kimya..

Ni heri unyamaze uonekane ni mjinga kuliko kuongea uoneakane Mpumbavu..

Asante.
 
Kubali ndugu, Fikilia anapoingia bleed damu zinapitia wapi na kuonekana kwa nje? na kama damu zinatoka nje shahawa zako ndo zishindwe kupenya kuingia ndani na kwenda kufanya urutubishaji japo ulimwagia juu sio kwandani? Kumbuka zinavyokuwa na speed 100. Hivyo mimba ni yako ila msiitoe.
 
Lea mimba mtoto akizaliwa utajua tu kama wa kwako au vinginevyo na hongera sana kwa kutosupport utoaji mimba
 
Hili swali linawafaa wazazi wako waliyekuzaa mtoto kama wewe ambaye kimsingi hufai. Unashindwa kitu kidogo kama hicho halafu kwa ujuha wako unatangaza? Nenda jando mwanangu uachane na ujuha.
we umeshawahi kutoa bikra?kama kweli umewahi kutoa basi huwezi kutoa kauli kama yako...it aint easy kutoa ile kitu eti
 
inawezekana ni ww ndo muhusika,,,,, hasa kama ilikua siku za ovulation. Siku za ovulation mazingira kwa mwanamke yanakua soo wet,,,sasa kama uliweka kinenani, sperm zinakua zimepata favourable environment kwenda kufertilize egg
 
Bila shaka kabisa hiyo ya kwako. many people think a woman can get pregnancy after sexual penetration, this is NO. if u ejaculate in women parts and get access to vaginal fluids then a pregnancy can occur and other women washes man dudu and wash themselves also she may get pregnancy in these actions I mentioned.
 
we umeshawahi kutoa bikra?kama kweli umewahi kutoa basi huwezi kutoa kauli kama yako...it aint easy kutoa ile kitu eti

Mkuu, si wanawake wote wenye kuwa na namna moja ya bikira..so, mwanamke anaweza kupata ujauzito ili hali akiwa bikira(hajawahi kukutana na mwanaume kabla)..vitu vingi vinaweza kusababisha false positive...the most reliable ni kusubiri wiki ya pili mara baada ya tendo la ndoa.
 
Atakua aligongwa na mtu mwingine then alivokuja kwako alikuwa kakamulia ndimu na hata hakuwa na mawazo na wewe hata kido so ndo maana ulivoingiza tu hukufanikiwa ukadhani eti ni bikira, du lakini na wewe ungesubiri ndoa ndugu yangu hakuna kitu kitamu kama kumjua mke wako siku ya honeymoon ni heshima na yeye atakutunzia heshma mpaka basi anajua kuwa wewe sio mtu wa kukurupuka na mihemko
 
sidhan kama ya kwako bro, (mimi sio doctor) sperms wawawez kuishi katika surronding temperature, na ili waweze kuingia katika yai lazima awe na speed, ukimwagia juu hata kufika huko hawafai tena ao, ushapigwa changa la macho.
LAKINI TUWAACHE WENYE KUJUA ZAIDI WAEKESAWA
 
Inaweza kuwa yako au sio yako mkuu, muhimu subiri akijifungua upime DNA na mtoto kama hujiamini.
 
Inawezekana kabisa ndugu. Ninao ushahidi wa kutosha. Kisayansi, mwanamke akiwa kwenye ovulation, huwa na ute mwepesi na laini sana. Ikiwa atagusana na mwanaume ambaye haja du siku nyingi, akiachia sperm huwa zinakuwa na speed kali sana, hivyo kwa bahati zikakutana na ule ute laini, midhili ya ute mweupe wa yai, huweza kusafirishwa haraka hadi kwenye yai lililopevuka, hivyo uwezekano wa binti kupata mimba ni mkubwa. Imetokea na nikashuhudia.
 
Back
Top Bottom