Wauguzi au Nurses wajibu wao kwa Wagonjwa Waliolazwa ni Upi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wauguzi au Nurses wajibu wao kwa Wagonjwa Waliolazwa ni Upi?

Discussion in 'JF Doctor' started by Inanambo, Oct 22, 2012.

 1. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,147
  Trophy Points: 280
  Wanajamii nilikuwa Muhi2 kumuona Mgonjwa Mwaisela4. jirani yake yupo mama amelazwa kafungwa mikono na miguu kitandan nguo kifuani hana hawez kujihudumia baada ya Haja kubwa na ndogo. Nilishuhudia mwanae wa kiume bado kinda la 13yrs akimfuta na Manes wakiwa hawajali kumsaidia. Ebu fikiria mvulana anampa mama yake Mzazi huduma tena akiwa uchi hii ni sawa? Nilihoji wapi ndugu na mume nikaambiwa hawana time naye na huwa hawaji kumjulia hali. Nikashindwa kuelewa nini maana ya kulazwa Hospital ikiwa Wauguzi hawajali Usafi na Shibe yake ikizingatiwa Mgonjwa haruhusiwi kulala na familia ndugu hospital labda mtoto anayenyonya.Pse naomba kujuzwa kama ndivyo ili nitafute pesa kuajiri Muuguzi wa kunihudumia kama wafanyavyo Wazungu
   
Loading...