Natafuta tiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta tiba

Discussion in 'JF Doctor' started by chigwiye, Oct 24, 2012.

 1. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani Ka-uncle kangu kanasumbuliwa na ugonjwa ambao mpaka sasa haujajulikana mahospitali, vituo vya maombi tumemaliza, nashawishika kuhamia tiba mbadala za asili na jadi.Mwenye kujua mganga yeyote mwenye uwezo mkubwa kutibu matatizo mbalimbali tafadhali msaada.Hata hivyo sijapoteza imani ya uponyaji wa kimungu bado mnaweza nisaidia namna ya kupata uponya huo kwa uncle wangu. Naendelea kuhitaji msaada pia wa tiba za kisayansi

  Maelezo
  -Ni binti wa sekondari
  -Hupaliwa ghafla na kuanza kukohoa mfululizo kwa dk zisizopungua 20, hutoa kelele kali na kilio kikali then hupoteza fahamu, wakati mwingine hujinyonganyonga mwili kama mtu anayeumwa tumbo kali la kukata. Azindukapo hafahamu chochote kilichotokea kabla.
  -Amepewa likizo shuleni na ameambiwa asirudi shule mpaka atakapopona, kwa kuwa limekuwa la mara kwa mara na kiasi cha kuwachosha uongozi wa shule

  Natanguliza shukrani zangu
   
 2. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Tafadhali Mkuu wangu MziziMkavu, tusaidie katika hili...
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Utaibiwa tu na hao wataalamu. Peleka mtoto kwenye maombi na kwa dr wa akili.
   
 4. Jotojiwe

  Jotojiwe JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Mimi naona kama unakabiliwa na wakati wa kufanya maamuzi magumu, nakwambia kwa maana ndio itakua itimisho kwa maisha ya uncle wako kama mfano ukichagua tiba yake iwe DAMU YA YESU ILIYO MWAGIKA PALE GOLGOTA MSALABAN ILI TUWE WA UFALME TENA basi jua atakua huru daima, lakini kama ukienda kwa waganga na mizimu na wengineo wasiojua yupo Mungu aliye hai ukasema ndio tiba basi jua uncle atakua mtumwa daima juu ya kutaka uzima, utakua umempeleka pasipo uaminifu. Nakusihi omba kujua roho wakweli yu wapi uende hapo haraka, hata hapa na jua wapo wenye shuhuda naomba msimwache huyu ateseke mtendeeni mema kama mlivyotendewa. Pole sana
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwanini haya maradhi yasiyoeleweka huwapata sana wanafunzi wakike hasa wa form 2 na 3?
   
 6. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante jotojiwe, nakubaliana nawe.
   
 7. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante king'asti, nmepata PM yako pia.Nitafanya sawa na ulivyoshauri
   
 8. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijui shida ni nini Angel, yanatokea sana,sijui wanafunzi wanalogana!!! am confused
   
 9. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hakuna kulogana, ni attention seeking...mostly hutokea kwa watoto katika Umri wa miaka 14 hadi 23 hivi...na hata watu wazima hiwapata pia uzeeni!
   
 10. H

  HAPPY MAKUKU Senior Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  inavyoonyesha huyo bint ana jini limemwingia, na tabia ya majini ni kuchezea watu ili kuwapoteza kiimani na uweze kutii sheria zake na masharti yake, nakushauri kwa ujumla ninyi wanafamilia mutafute viongozi wa kiroho walio safi sio wale nusux2 na wadumu ktk kumuombea, na huyo binti mumujenge kisaikologia aamini kwamba atapona naye adumu ktk kumuomba mungu hakika kwa uwezo wa mungu yatakimbia na yataondoka. Kwa sababu lengo lake litakuwa limeshindwa kutimia. Yasikutieni wasix2 majini ni maoga sana hasa pale unapomtaja mungu, kwa hiyo nyote mkidumu ktk imani isiyotetereka atapona tena kwa haraka kwa uwezo wa mungu.
   
Loading...