je huu ni ugonjwa au ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je huu ni ugonjwa au ?

Discussion in 'JF Doctor' started by EL MAGNIFICAL, Oct 23, 2012.

 1. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wana jf ?
  Kama mu wazima wa afya basi jina la bwana lihimidiwe ?
  Nakuja kwenu tuweze kubadilishana mawazo kuhusu tatizo linalonikabili ?
  Ni kwamba mwenzenu kila ninapokutana faragha na patner wangu uume wangu huwa hautoi kabisa manii (yaani sipigi bao) japokuwa nasimamisha vizuri na nnapata raha zote.
  Hata nikae mda gani kiunoni zaidi zaidi huwa naishia kuchoka tu .
  Sasa basi naomba mnisaidie mawazo ?
  (1) je huu ni ugonjwa ?
  (2) kama ni ugonjwa unaitwaje kitaalamu ?
  (3) nini husababisha tatizo hili ?
  (4) je kuna madhala yoyote naweza kupata hapo baadae ?
  Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu wadau.
   
 2. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  pole sana mdau! hapo kutakuwa kuna tatizo ama la kimwili au kiakili. lakini kwa vile jogoo linawika basi hii inaweza isiwe issue kubwa sana ngoja tuwapishe watalam zaidi wakupe ushauri wao kuhusu kadhia hii
   
 3. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  asante jemedari hii kitu inanikosesha sana amani ?
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,605
  Trophy Points: 280
  mkuu.@EL MAGNIFICAL Pole sana kwa hayo yanayokukuta imi ninakuonea wewe wivu ukicheza mchezo na shemji yangu mke wako hupigi bao yaani hushindi goli? Ahh miye ninakaa siku 3 au 4 siku nikikutan na

  shemeji yako mke wangu nikipiga analia sana huwa natoa nyingi Shahawa tuu mpaka anapiga makelele ,kwa sababu

  ninakula njugu,
  cheese, Karanga mbichi na vyakula vyete kuleta shahawa kwa wingi mwilini ningelikushauri uwe unapo fanya

  mapenzi na shemeji yangu uwe akili zako na mawazo juu yake na juu ya tendo la mapenzi usijaribu kufikiri

  maisha au matatizo yako ya maisha utakuwa unarusha stemu zako jaribu akili yako kuwa kwenye tendo la

  sex na uwe unamuangalia shemeji yangu mwili wake wakati wa tendo la sex utatoa haraka shahawa.Na

  kama itashindikana nenda Hospitali kamuone Daktari umueleze wala usimfiche atakuwa ushauri mzuri

  zaidi.Jaribu huo ushauri wangu kisha uje hapa unipe feedback.


  Pendelea kula Vitu hivi utatowa shahawa za kumwaga Mkuu

  [​IMG]

  cheese  [​IMG]
  njugu za chumvi.
   
 5. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Aksante mkuu nitafanya ivyo ushauri wako nauzingatia maana nilishauliwa na baadhi ya friends na wakanishauri nitumie sana karanga pia hata maandalizi ya sex si mbaya nikitizama porn movie ? Lakini mambo yalibakia kuwa vile vile ?
  Nashukulu kwa ushauri wako.
   
 6. awp

  awp JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Pole sana, ila jf ina mambao jamani khaaaaaaaaaaaa
   
 7. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu! Ila sipati picha kwa msuguano wa muda mrefu wa hivyo viungo..!
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Dah pole sana mkuu!!! Pamoja na kula karanga, cheese, asali na kwa ujumla wake protein foods kwa wingi ila pia weka mawazo yako pamoja!!! Sex ni saikolojia zaidi!!! Kuna ndoa nilisimamia tatizo lilikuwa kwa mke kwamba alikua hafikii kileleni kabisa. Ikamsumbua sana mke na mume yule. Nilipofikishiwa tatizo nikakaa na kila mmoja peke yake!! Nikagundua kuwa yule mama alikuwa na matatizo kisaikolojia!!! Alikuwa anampenda sana mume wake na kwa kuwa yeye hakuwa na kazi basi akawa ana hofu na maisha kuwa pengine mume wake hataweza kuwa na maisha mazuri ya kujenga, n.ka. Pale pale nikampa mawazo kuwa kama atafanikisha tendo la ndoa vizuri itamfurahisha mume wake na ataweza kutulia zaidi kiakili kwa mantiki hiyo atakuwa na mipango mizuri ya maisha.

  Kwa hakika niliwataka watoke nje ya nyumbani tukafanikisha hotel somewhere kuanzia ijumaa hadi jumapili na niliwambia kila mmoja kwa wakati wake aje kunipa feedback!!!! Mke alifikia kilele idadi ambazo hakukumbuka!!!! Mume alisema aliishiwa nguvu kabisa maana kila mara mke yuko on kabisa!!!!
  Fundisho ni kuwa ndoa zetu hizi huwa zina changamoto za hapa na pale!!! Kinachotakiwa jitahidi kusahau hizi changamoto wakati wa lile tendo. Nakuhakikishia kama tendo nyumbani haliko vizuri hata mambo yako mengine yanakuwa hovyo!!
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,568
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kusoma tatizo kama hili katika site nyingine. Huyo jamaa alidai yeye anaweza kukesha kunako kwa masaa hadi mawili na kuendelea bila kuona ndani. Wanawake wengi aliowahi kuwa nao walikuwa wanamlalamikia kwa masaa marefu kiasi hicho maana shughuli za mwenzie huwa zinakauka na hivyo kuongeza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kupata michubuko. Ila alidai alipokuwa akishughulika mwenyewe basi hata dakika tano hamalizi, lakini jamaa hakupata ushauri wowote wa kumsaidia ili kuondokana na tatizo lile. Jaribu kufuata ushauri mbali mbali uliopewa hapa na na labda kurefusha fore play inaweza kukusaidia nawe ukaona ndani. Kama hakuna nafuu basi si vibaya ukiwaona wataalamu.
   
Loading...