Je, wewe ni miongoni mwa wanaosumbuliwa na matatizo ya tumbo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, wewe ni miongoni mwa wanaosumbuliwa na matatizo ya tumbo?

Discussion in 'JF Doctor' started by amigooo, Sep 28, 2012.

 1. a

  amigooo Senior Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama wewe ni miongoni mwa wanaokosa raha kutokana na matatizo mbalimbali ya tumbo mfano gas, vimbe, mmeng'enyo mzima wa chakula kutokwenda inavyotakiwa ikiwa ni pamoja na kukosa choo kwa muda mrefu na mengineyo mengi tafadhali epuka matatizo yako kwa kutumia product nzuri sana iitwayo Aloe Vera Gel.
  Inatokana na gel ya katikati ya jani la Aloevera. Kinywaji hiki cha asili kinasaidia kuondoa sumu, kusafisha na kusaidia mmengÂ’enyo wa chakula, kuondoa vimbe, kuponya vidonda na kusaidia uponyaji wa maradhi kama arthritis, kisukari, vidonda vya tumbo,kukuongezea nguvu, kupunguza aleji mwilini na mengine mengi. Ina virutubisho kama vitamin 12 ikiwemo B12, madini 20, amino acid 18 na enzymes.
  Kwa mawasiliano: healthwealthfirst@gmail.com na pia namba 0713889162. Mwambie na mwenzako mwenye tatizo tafadhali katika kusaidiana.
   
 2. K

  Kinega ment Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu ingekuwa njema ungetaja na bei kabisa ili m2 akikutafuta awe amejipanga kabisa.
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Bei please.
   
 4. a

  amigooo Senior Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bei yake ni nafuu sana. Ni shilingi elfu 41 tu. Fedha halali kwa malipo ya Kitanzania
   
 5. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,030
  Likes Received: 2,648
  Trophy Points: 280
  Na bei ya dose mpaka upone ni shi. ngapi?
   
 6. a

  amigooo Senior Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe una wasiwasi kuhusu kupona? Hiyo siyo ya majaribio bali ndiyo bidhaa inayowafanya watu wengi wafurahie maisha na mara mtu atumiapo hutoa ukweli wa mambo. Haihitaji wewe kuwa na tatizo ndiyo uanze kutumia bali watu wengi pia hutumia bila hata kugundua kuwa na tatizo sababu ni lishe nzuri kwa ajili ya miili yetu. Miili yetu ina matatizo mengi ambayo wanaofuatilia hata kupima afya hospitalini ni wachache sana. Ile hali ya kufika hospitalini na kuambiwa una tatizo tayari uelewe mwili upo kwenye hali mbaya kiafya na haitakiwi ifikie huko. Inahitaji elimu ya muda kama mtu hajaelewa ninachokimaanisha. Nipo tayari kukuelimisha. Cha kufanya ni kunitafuta zaidi kwa muda wako muhimu au katika email pia.
   
 7. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utapeli tu. Ptuuuuu!!
   
 8. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  bei ya hiyo dawa ni shilingi ngapi
   
 9. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  elfu 4 au elfu 41.kama 41 ni ghali kwa kipato cha mtanzania wa kawaida.ndio mana tunakufa kwa kukosa fedha.
   
 10. a

  amigooo Senior Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni lise nzuri sana kwa afya. Soma hayo maelezo vizuri na ni mkombozi wa wengi waliokuwa na matatizo mbalimbali. Pia kuwa nayo siyo lazima uwe na tatizo. Kumbuka hadi inafikia muda unakwenda hospitalini na kuambiwa una tatizo ufahamu kuwa mwili wako uko kwenye hali mbaya. Asilimia kubwa ya watu wengi tuna uwezo wa kutunza afya zetu kwa kula vizuri na kupata vyakula vyenye suppliments lakini ni kuwa hatukupewa hiyo elimu.
   
 11. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Nimeshapoteza pesa nyingi sssana kwa post na posters kama hizi!!nimeamua kutulia kusubiri mzungu aniambie amegundua dawa ya tatizo langu nikajaribu tena huko!!dawa za 41,000 za kisasa ni za hali ya juu sana,huwa naona kama hawa WAGANGAnjaa wamejisahau kabisa kuwa tiba yao ni ya kubahatisha mno,na imekuwa na mafanikio kwa asilimia ndogo mno!!lakini ndiyo kama yale ya fiterawa ya kumeza zaidi ya lita kumi za maji machafu kwa more than 200,000 na kuishia kupata allergy huku ukiwa umezidisha ugonjwa,kabla sijasahau hasara niliyopata kwa utapeli ule!akaja mwingine na utapeli kama huohuo,sijakunja kona wewe tena!!na stori zilezile,staki tena.
   
Loading...