madhara ya kuangalia porn (ngono)

Inaathiri nguvu za kiume,ukishazoe hayo mambo jogoo apandi mtungi(unakua Boflo sio wa JF) mpaka uangalie porno
 
Last edited by a moderator:
Once you become addicted to pornographic material of any kind you totally loose your confidence, it is a sin.
 
Ukiangalia ngono na mwanamke huku na nyinyi mkifanya hatakusahau. hatawataka tena wale wenye aibu, angalia nae kwanza apate joto sana halafu mchape
 
Jamani ndiyo maana jamvi hili linaitwa la THE GREAT THINKERS! Sasa kwa thread hii kinachojadiliwa ni nini? Kwa sababu mtu mwenyewe ameandika head line tu. Tunaomba atueleze anachotaka kujadili humu, acheni kukurupuka. Ndiyo maana mwanajamii mmoja jana alisema inabidi tuanze kwa makini na waleta threads kwani si ajabu huyu aliyeileta hii hata kubarehe bado anaishia kuangalia mikanda ya NGONO tu. Think like as a great thinker.
 
Inaleta hamu endelea kuangalia porn na wafundishe na watoto wako mapemaaa
 
Madhara: utapoteza muda mwingi sana kuangalia, badala ungetumia muda huo kutafuta couple ili upate kitu live
 
Jamani ndiyo maana jamvi hili linaitwa la THE GREAT THINKERS! Sasa kwa thread hii kinachojadiliwa ni nini? Kwa sababu mtu mwenyewe ameandika head line tu. Tunaomba atueleze anachotaka kujadili humu, acheni kukurupuka. Ndiyo maana mwanajamii mmoja jana alisema inabidi tuanze kwa makini na waleta threads kwani si ajabu huyu aliyeileta hii hata kubarehe bado anaishia kuangalia mikanda ya NGONO tu. Think like as a great thinker.

Unatakaje na post ipo, unatupangia masharti kwani jukwaa hili la kwako? vumilia ndio maana ya jukwaa kama huwezi kafungue jukwaa lako peke yako ujijadili. Moderators wenyewe hawana maneno sasa wewe nani?
 
Jamani ndiyo maana jamvi hili linaitwa la THE GREAT THINKERS! Sasa kwa thread hii kinachojadiliwa ni nini? Kwa sababu mtu mwenyewe ameandika head line tu. Tunaomba atueleze anachotaka kujadili humu, acheni kukurupuka. Ndiyo maana mwanajamii mmoja jana alisema inabidi tuanze kwa makini na waleta threads kwani si ajabu huyu aliyeileta hii hata kubarehe bado anaishia kuangalia mikanda ya NGONO tu. Think like as a great thinker.

Mada iko waz mbona, na nlipoeka kiengereza nimetafsir ili kila mtu afaham.
Nina 23yrs
 
Nimeskia kwamba wanandoa weng huwa wanaangalia, vp wao kuhusu na maneno hapo juu (kuwa boflo)?

Hapo kwenye red Mkuu, unaleta hapa jukwaani habari za kuskia? N hata kama ingekuwa kweli, ni ajabu gani kwa mwanandoa kuwa 'boflo'? Mbona wewe hata kuoa bado lakini tayari ushakuwa 'boflo'?
 
Niombe radhi mkuu
 
Back
Top Bottom