Kuhisi mwili unaungua moto

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Kuna wakati mtu unaweza ukajikuta unahisi mwili kama unaungua moto. Hii hutokana na nini? na ni namna gani ya kuweza kudhibiti?
 
Una umri gani? Jinsia yako? Kama ni mwanamke 35+ inaweza ikawa dalili ya menopause.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom