Kumaliza matatizo ya meno na kinywa kwa ujumla inawezekana. Ni wewe tu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumaliza matatizo ya meno na kinywa kwa ujumla inawezekana. Ni wewe tu!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by amigooo, Oct 5, 2012.

 1. a

  amigooo Senior Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  FOREVER BRIGHT TOOTH GEL
  Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa kutokana na stabilized Aloe Vera Gel pamoja nabee propolis hivyo huua bacteria na vijidudu vyote. Inang’arisha meno bila kuchuna tabaka la juu la meno-ENAMEL. Huzuia meno yasitoe damu, kuponya vidonda vya mdomoni na endapo kuna maumivu mdomoni unaweza kupaka kwenye meno moja kwa moja bila kupiga mswaki.
  Husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya imara. Haina fluoride kama zilivyo aina nyingine za dawa za meno. Fluoride inayopatikana kwenye majiinatosha kwa ajili ya afya. Ikizidi inakuwa na madhara mwilini hasa kwa watoto wadogo huathiri IQ(Intelligence Quotient)

  Husafisha na kuyaacha meno yako yakiwa naking’aa. Dawa zenye fluoride pia huaribu meno sbb ya kuzidi kwa hayo madini na rangi ya meno hubadilika rangi.

  Usiwe na shaka kuhusu kuepuka ili meno yako yasiharibike. Tumia hii product kwa afya ya kinywa na yenye upendeza.

  FAIDA: Huzuia kutokwa damu, harufu mbaya, kuimarisha fizi, matundu kwenye meno,huponya vidonda vya mdomoni, haina fluoride.
  HEALTH is given first priority: Invest in your health and it cost only 13000/- to have yours at home
  PLACE YOUR ORDER NOW = > Bernard 0713889162
  healthwealthfirst@gmail.com
   

  Attached Files:

  • 23.jpg
   23.jpg
   File size:
   40.5 KB
   Views:
   107
  • 24.jpg
   24.jpg
   File size:
   33.1 KB
   Views:
   118
  • 25.jpg
   25.jpg
   File size:
   27.7 KB
   Views:
   73
 2. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ya ukweli hayo au promo bro!meno ya arusha,singinda yanatibika kweli?
   
 3. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hizi promo zimo hata kwenye mabasi. hizo dawa hazina lolote.
   
 4. a

  amigooo Senior Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hizi siyo zile uzionazo kwenye mabasi ndg. Za kwenye mabasi ni za kuchakachua na japokuwa nazo zinaonekana tofauti na Colgate na Whitedent. Pata uelewa zaidi mpinga shetani
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hayo yanatibika hospitali
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,449
  Likes Received: 81,546
  Trophy Points: 280
  Usafi wa kinywa hurefusha maisha.
   
 7. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Dada May hajambo?
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Mimi nikishaona FOREVER products, nafunga kabisa kusoma

  Ni power of marketing tupu
   
 9. a

  amigooo Senior Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usilojijua ni sawa na usiku wa kiza. Tafuta uelewa kwanza
   
 10. C

  Chabo JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  Amigoo mbona sikupati kwenye namba hizo uloandika hapo?nahitaji dawa plz
   
 11. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  thanks kwa wewe unayelijua............ bahati mbaya sana kujua kwangu hakuwezi kunibadili, kwani tuna GNLD, Forever etc. na nimeshindwa kutofautisha chochote kati yao zaidi ya remaning/rebranding Alove vera nk.

  I will go for what i know and be comfortable, than spending huge sum kwa kununua shubiri ya kwenye kopo wakati kila wilaya shubiri yaweza ota cha maana ni kujua species sahihi... Nenda Lushoto botanical garden ukajifunze zaidi mkuu
   
 12. a

  amigooo Senior Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe hakuna unachokielewa ndiyo maana unaweka comments zisizo. Angalia kwanza ni wangapi wamesoma hiyo thread na ndiyo waelewa
   
 13. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  kuna post 13 tu, kuonyesha kwamba thread haina mashiko

  we tumika kwenye marketing.... :poa
   
 14. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Urongo mtupu kama ule wa Babu Loliondo.:nono:
   
 15. Noel france

  Noel france JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 779
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Fremason product,I hate that product.
   
 16. a

  amigooo Senior Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tafuta uelewa kwanza na kama huna mawazo yenye tija ni afadhali kukaa kimya
   
Loading...