Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Anonymous
Ninaomba kufikisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa huduma katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba yaani Rubya Hospital ambao kwa maoni yangu unaweza kuhatarisha maisha ya wagonjwa...
0 Reactions
1 Replies
101 Views
Kituo cha Afya Mtae kilichopo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kinalipisha huduma ya opereshen kwa wamama wajawazito Tsh 78,000 kwa kila anayejifungua kwa operesheni na hatulipi kwa Control Number...
0 Reactions
2 Replies
164 Views
Waziri wa Afya, Mchengerwa tunaomba fuatilia kwa ukaribu Hospitali ya Ngamiani - Tanga kuna uzembe flani wa wauguzi, tarehe 24/6/2026 kuna mgonjwa alikutwa amefia chooni bila ya wauguzi kujua...
0 Reactions
12 Replies
324 Views
Kuna malalamiko kuhusu mwenendo wa daktari mmoja wa kike katika hospitali yetu ambaye anadaiwa kutowahudumia wagonjwa kwa wakati na kutokuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa. Inadaiwa kuwa hata...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Jamani naomba kwa yeyote anayejua tatizo hili anisaidie,mimi huwa nikiwa na msongo wa mawazo basi mgongo huwa unakuwa kama unawaka moto maeneo ya karibu na kiuno;hali hii huwa inanifanya nikose...
0 Reactions
2 Replies
14K Views
Nimwezi sasa nakidogo tangu nitoke kuugua malaria nikaanza kunotes presha yangu Iko juu inachezea 150/100 pr 70 baada kumaliza kuugua ikawa hivyo hivyo. Nikaanza kufuatilia ikarudi kuja kuwa...
4 Reactions
33 Replies
491 Views
Je, unajua tofauti kati ya X-ray na Ultrasound? Je, Ultrasound hupunguza umri wa mimba? Ni vipimo gani hufanyika kwa kila kimoja, na ni wakati gani sahihi wa kuvifanya? Leo kwenye Genesis Project...
1 Reactions
2 Replies
167 Views
Anonymous
Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu. Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano. Je...
2 Reactions
8 Replies
238 Views
1.��️ Uvutaji wa sigara 2.��️ Unywaji wa pombe 3.��️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk 4.��️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula...
1 Reactions
2 Replies
85 Views
Nimekuwa nikihudhuria Muhimbili kwa takribani mwezi sasa. Ukweli wagonjwa wanachukua muda mrefu sana kumsubiria Daktari afike. Madaktari wengi wanaanza kusikiliza wagonjwa kuanzia SAA TANO...
6 Reactions
11 Replies
186 Views
Leo nimepigiwa simu ya shukrani, mama wa binti akilia machozi ya furaha, binti yake kapata mtoto. Mwaka 2024 mwishoni nilienda kijijini nilikozaliwa, nikakutana na binti aliyemaliza degree na...
2 Reactions
3 Replies
133 Views
. Epuka kufanya ngono hadi matibabu yakamilike na daktari athibitishe kuwa ni salama, ili kuzuia kuambukiza wengine au kuambukizwa tena. Hii watu wengi hupuuzia lakini imekuwa ikifanya watu wengi...
2 Reactions
2 Replies
154 Views
Kuna kipindi tulitangaziwa ugunduzi wa dawa ya Tezi uliofanywa na wanafunzi wa St John University Dodoma. Serkali nayo ikaipigia debe kuwa dawa hiyo ni suluhisho la maradhi hayo maana haiitaji...
1 Reactions
9 Replies
173 Views
Wakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi. Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence. Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu 😎😎😎.
6 Reactions
63 Replies
882 Views
Ni kawaida kwa wanaume wengi kushuhudia uume “kulala” au kulegea mara tu baada ya kumaliza tendo la kwanza la ngono (kufika kileleni / kumwaga shahawa). Hali hii husababishwa na mabadiliko ya...
5 Reactions
52 Replies
7K Views
Salam ndugu zangu wanaJF, JF imekuwa na msaada mkubwa sana kwangu. Leo nimekuja na kuomba msaada, je mwanamme kushindwa kutungisha mimba tiba yake ni Nini? Vipimo vya hospital vinaonesha sperm...
1 Reactions
0 Replies
83 Views
Hali zenu vip wakuu? Nauliza wapi naweza kupata huduma (iwe hosptali au kienyeji) ya kuzuia hamu na hisia ya tendo la ndoa angalau kwa miaka mitatu? Mwenzenu, hawa viumbe wananisumbua. Yaani...
4 Reactions
31 Replies
463 Views
Habari viongozi, mimi nina kijana ambae ni rafiki yangu, ambae ikitokea kaota ndoto nyevu basi humletea maumivu wakati anachafua bukta yake, kwahiyo nilikua naomba msaada wa kuweza kukabili hali...
3 Reactions
34 Replies
390 Views
Ni yapi matibabu sahihi ya Tezi dume?
0 Reactions
3 Replies
90 Views
Kuwashwa (Itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi unaokufanya utamani kukuna sehemu iliyoathirika unaweza Kuwashwa sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima KUWASHWA...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Back
Top Bottom