International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

26 JANUARY 2024 Today, the "united" States of America stand on the precipice of actual CIVIL WAR. Twenty-Five of the fifty states now publicly stand with Texas against the rogue and...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Watu ambao hawajachanjwa ni watu wenye sifa ya ujasiri mkubwa. Ni watu bila shaka wenye sifa ya ukosoaji na bila shaka yeyote pia ni wanadamu bora zaidi kuliko wengine.Hata kama ningechanjwa...
14 Reactions
33 Replies
3K Views
Meli ya mafuta inawaka moto katika Ghuba ya Aden, mwendeshaji wake anasema, baada ya wapiganaji wa Houthis kusema waliishambulia kwa kombora. Kundi hilo la Yemeni lilisema lililenga meli hiyo kwa...
2 Reactions
1 Replies
454 Views
Kwa wale ambao wana nafasi leo ndiyo siku ya hukumu ya kesi ambayo Afrika ya kusini ilifungua kuishitaki Israel katika mahakama ya kimataifa kuwa inafanya Genocide huko Gaza. kwa wale walio...
3 Reactions
109 Replies
7K Views
Wanaukumbi. Msikilize Craig Mokhiber, afisa wa zamani wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkurugenzi wa NY Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) na mwanasheria wa Kimataifa wa...
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Jimbo la Texas linataka kujitangazia Huru wake na linaungwa mkono na majimbo mengine Mengi tu Tuzidi kuwaombea
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mzuka Wanajamvi! Hili halipingiki. Tuko tayari kufa, kupigwa na kubaguliwa na Wa Israeli/wayahudi. Myahudi akikupiga, kukuua na kukubagua hiyo ni mibaraka. Mungu alilinde taifa teule la Israel...
18 Reactions
118 Replies
5K Views
Kumekucha, wameanza kutia akili, kimsingi haitokuja waue Wayahudi wote, hivyo lazima wakubali kuishi kwa amani. Kila nikikumbuka picha ya huyu mwamba huwa nacheka sana, alidhani vita ni zile...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Baada ya Ujerumani kutoa maelekezo kwa serikali ya Niger kua haitaki kuona Niger na Russia zikishirikiana la sivyo wao Wanafunga Ubalozi wao. Niger wamekuja na majibu kwa Germany. Niger tackles...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Kiherehere kimeiponza Uingereza baada washirika wengi wa Marekani kukataa kuungana na Marekani kuishambulia Yemen Uingereza ikajitokeza na kukaza shingo kuwashambulia Houthi sasa meli zake...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
US na UK wameonyesha wako tayari kupiga popote, yaani hawa Houthi wanataka wao wapige meli lakini wasipigwe kunako..... Houthis accuse US, UK of targeting Ras Isa oil terminal in Hodeidah...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
BREAKING: [emoji298] [emoji636][emoji631] South Africa now wants to take both the US and the UK to court South African Lawyers have announced they intend to file a lawsuit against the U.S. and...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya nje, Hungary -Peter Szijjártó: " Hivi iliwezekana vipi mwaka Jana Russia ndo akawa msambazaji mkuu wa uranium kwa nchi ya marekani? Na Marekani ameilipa zaidi ya dola million...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndani ya Gaza kuna makundi kadhaa yanayopigana dhidi ya Israel kwa lengo moja la kuitetea Palestina na kuulinda masjid al aqsa. Kila kundi lina wapiganaji wake na hazina ya silaha.Kuna vikundi ya...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Algeria imeomba baraza la Usalama la UN likutane Jumatano kujadili Hukumu ya ICJ dhidi ya Israel Nazo nchi zote za Kiarabu Huko UN zimekutana faragha kujadili na kuipongeza Palestine Source Al...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
World court orders Israel to take all measures within its power to prevent acts of genocide in Gaza. Palestinian supporters protest outside the International Court of Justice in The Hague, where...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Paul Kagame anaelewa thamani ya taswira inayoonekana. Anapenda kupigwa picha akiwa na sura ya furaha akimkabidhi mtu mashuhuri katika Kongamano la Kiuchumi la Dunia huko Davos - mwezi huu, Rais wa...
1 Reactions
0 Replies
858 Views
Tangu vikosi vya Israel viondoke kaskazini ya Gaza mamia kwa maelfu ya wananchi wamekuwa wakimiminiko kutoka walikojificha na wengine kurudi kutoka kusini na kujaza mitaa iliyojaa magofu na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jimbo la Texas linataka uhuru kamili kujitoa USA gavana wa Jimbo hilo anaendelea na mchakato huo wakati huo huo Biden amepeleka jeshi la Shirikisho huko Texas na mpakani mwa Texas...
21 Reactions
111 Replies
9K Views
Ukamatwaji huo wa Ovidio Guzman-Lopez ambao pia umetajwa kuihusisha Marekani kumesababisha machafuko maeneo tofauti kwenye Jimbo la #Sinaloa kutoka kwa makundi ya kihalifu na kusababisha kifo kwa...
9 Reactions
87 Replies
9K Views
Back
Top Bottom