johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,995
Jimbo la Texas linataka kujitangazia Huru wake na linaungwa mkono na majimbo mengine Mengi tu
Tuzidi kuwaombea
Tuzidi kuwaombea
Hii itatokea baada tu ya kuiondoa madarakani CCM.Bara na visiwani LIKATOKEA 👏
Ndo kitakachotokeaHaha hapo utaona anayejiita baba wa demokrasia atakavyo dili na hii issue...
Watakufa wengi kuulinda huo muungano.
Hao jamaa hawawezi kukubali kuna watu watafinywa kimya kimya ,nchi kubwa mambo kama hayo wanatumia njia za kigaidi ila kimya kimya .Haha hapo utaona anayejiita baba wa demokrasia atakavyo dili na hii issue...
Watakufa wengi kuulinda huo muungano.
Ndio ninachokiona hapoHao jamaa hawawezi kukubali kuna watu watafinywa kimya kimya ,nchi kubwa mambo kama hayo wanatumia njia za kigaidi ila kimya kimya .
Chaujuaji hapa umeongea kama ofsa kutoka white house tawi la mwembe madole mivumoni.Hakuna jimbo lolote Marekani linajaribu hata kuandaa taratibu za kujitenga na cha ajabu katiba yao inaruhusu ingawa utaratibu wake ni mrefu.
Hii habari yako umeitoa kwenye kilabu cha kimpumu
... walipoona mafuta yapo Sudani ya kusini wakaweka bidii zote kuimega Sudan ... ILA WAO SASA!Ndio ninachokiona hapo
Ila ingekua ni kwa nchi za afrika wangeshinikiza utengano kwa kofia ya Demokrasia.
Texas mara kadhaa wamekuwa wakionesha hali za kutaka kujitenga na sio Texas pekee na hizi ni harakati za muda mrefu hivyo acha kupotosha kuwa eti hakuna majimbo yasiyo taka kujitenga na kuunda nchi zao kivyao.Hakuna jimbo lolote Marekani linajaribu hata kuandaa taratibu za kujitenga na cha ajabu katiba yao inaruhusu ingawa utaratibu wake ni mrefu.
Hii habari yako umeitoa kwenye kilabu cha kimpumu
Marekani ina watu wa kila aina, hata wanaojiita Mungu pale Marekani wapo. Na hatuwezi sema Marekani ndipo Mungu alipo sababu kuna watu kadhaa wanadai ni Mungu.Texas mara kadhaa wamekuwa wakionesha hali za kutaka kujitenga na sio Texas pekee na hizi ni harakati za muda mrefu hivyo acha kupotosha kuwa eti hakuna majimbo yasiyo taka kujitenga na kuunda nchi zao kivyao.
Aiseeh!muungano wa Marekani sio wa kulazimishana.