Waziri Mambo ya nje Hungary: Hakuna anaependa kurukia mgongo wa Simba

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,495
99,292
Waziri wa Mambo ya nje, Hungary -Peter Szijjártó:

" Hivi iliwezekana vipi mwaka Jana Russia ndo akawa msambazaji mkuu wa uranium kwa nchi ya marekani?

Na Marekani ameilipa zaidi ya dola million 500 kwa serikali ya Russia, ila sisi tukinunua mafuta ya Russia tunaonekana tunadhamini Vita.

Hakuna mtu anapenda kurukia kwenye mgongo wa Simba, ndo Maana Ni rahisi kumkandamiza Hungary"
533101166.jpg
 
Waziri wa Mambo ya nje, Hungary -Peter Szijjártó:

" Hivi iliwezekana vipi mwaka Jana Russia ndo akawa msambazaji mkuu wa uranium kwa nchi ya marekani?

Na Marekani ameilipa zaidi ya dola million 500 kwa serikali ya Russia, ila sisi tukinunua mafuta ya Russia tunaonekana tunadhamini Vita.

Hakuna mtu anapenda kurukia kwenye mgongo wa Simba, ndo Maana Ni rahisi kumkandamiza Hungary"View attachment 2883943
Hii vita ndio imenisaidia kujua kuwa wazungu wana akili ndogo sana.

Yaani wana amuliwa mambo na Taifa 1 na wanafata.Huku anaewaamulia yeye anafanya yale aliyowakataza wenzie kufanya.

Ikiwemo kununua Uranium,mbolea n.k.
 
Hapo Mkuu ndiyo utajua wazungu wana akili au ni mbumbumbu mzungu wa reli
Kuna mambo yanatafakarisha sana uwezo wa uelewa wa wazungu.

Vikwazo vya EU walivyomuwekea Russia ni mapendekezo ya USA sio maamuzi yao ya kutoka moyoni.

Matokeo yake wanaumia wao na aliewashauri anakula bata na anarudi kufanya biashara na yule yule ambae kawashauri wenzie waachane nae.

Na bado wanatulia na wanaendelea na msimamo ule ule aiseee.
 
Hii vita ndio imenisaidia kujua kuwa wazungu wana akili ndogo sana.

Yaani wana amuliwa mambo na Taifa 1 na wanafata.Huku anaewaamulia yeye anafanya yale aliyowakataza wenzie kufanya.

Ikiwemo kununua Uranium,mbolea n.k.
wazungu wana akili kubwa mkuu mpaka Hungary anaongea maneno hayo yumo ndani ya mtego ambao hawezi kuchomoka, ni kama wewe unalalamikia maonevu ya polisi lakini umo mule mule jela
 
Hii vita ndio imenisaidia kujua kuwa wazungu wana akili ndogo sana.

Yaani wana amuliwa mambo na Taifa 1 na wanafata.Huku anaewaamulia yeye anafanya yale aliyowakataza wenzie kufanya.

Ikiwemo kununua Uranium,mbolea n.k.
Hawa jamaa watakuwa wanaiogopa na kuisujudia Sana marekani.

Yaani wapo tayari uchumi wao uparaganyike kisa tu marekani katoa amri.
Mbaya zaidi vitu ambavyo marekani anavihitaji kwa ajili ya uchumi wake huko Russia anaendelea kununua, kwa mfano mbolea. Lakini nchi za ulaya marafuku kununua mafuta na gesi huko Russia wakati wanahitaji.
 
Hata ulaya ujinga bado upo kwa kiwango kikubwa.

Hii vita ndio imetufumbua macho.
 
Marekani anamtegemea Russia kwa mambo mengi sana, teknolojia ya injini za roketi zinamilikiwa na Russia pekee ambapo Marekani hununua injini hizo kwa ajili ya tafiti za anga.

Gesi, mbolea mafuta na uranium urusi ndiyo msambazaji mkuu kwa Marekani. Usitegemee Russia kuporomoka kiuchumi maana biashara zake zinaendelea kama kawaida Tena kwa pesa nyingi Toka Marekani.
 
Sasa mbona Marekani anawazuia wenzie wasifanye biashara na Russia?
 
Back
Top Bottom