Ujerumani waiambia Niger isishirikiane na Russia la sivyo wanafunga Ubalozi wao

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,306
35,852
Baada ya Ujerumani kutoa maelekezo kwa serikali ya Niger kua haitaki kuona Niger na Russia zikishirikiana la sivyo wao Wanafunga Ubalozi wao. Niger wamekuja na majibu kwa Germany.

Niger tackles Germany!

Germany demands that Niger stop relations with Russia, otherwise Germany will close its embassy and sever relations. This is not knowing General Tiani well.

He declares: Niger is no longer running
behind a country to continue to collaborate, if Germany wants to close its embassy, let it be so, we will not beg anyone. Whoever wants to get out, let him get out, we are with Russia.

Who needs Germany?
Europeans did not bring anything to Africa than exploitation of our resources , wars, terrorist ,and dictators.
IMG_20240128_074709.jpg
 
Hawa wanajeshi kuangusha serikali za kiraia na kukimbilia Urusi ndio wanaoiharibu Afrika zaidi huenda kuliko hao walioangushwa. Kama Putin kakaa madarakani zaidi ya miaka 20 basi nao wanataka kuwapo madarakani kwa mfumo huo wa Rais wa Maisha. Ni afadhali kuwa independent na kuacha milango yote wazi kuliko kujidai independent huku milango yako iko Urusi tu
 
Tunachaguliwa marafiki kwasababu ya ujinga wa viongozi wetu...

Afrika tungekua na kauli moja kama umoja wa ulaya...

Tusingeishi kwa matakwa ya mataifa mengine.
safii badala ya kuwalalamikia wazungu tuangalie pia na mapunguf yetu ndo yanapelekea tuendeshwe , yupo mvaa kobaz anaona sw tu Mollel kuuawa kisa muuaji ni muislam mwenzie , kwa akili hx hata Hamas wakifanikiwa kujenga uhusiano nas nas watatupangia nini cha kufanya sabab tumeonesha tyr tunawajal wao kuliko hata sisi wenyewe
 
Niger wamenikumbusha moment ujerumani magharii walipompiga mkwara mwalimu Nyerere afunge ubalozi wa ujerumani mashariki kule Zanzibar baada ya muungano wa Tanaganyika na Zanzibar la sivyo wanakata ushirikiano na sisi, mwalimu akawajibu akasema ondokeni!
Mazingira ya wakati ule ilikuwa sawa Ila Sasa ningejua rài ningewakubalia.
 
Hawa wanajeshi kuangusha serikali za kiraia na kukimbilia Urusi ndio wanaoiharibu Afrika zaidi huenda kuliko hao walioangushwa. Kama Putin kakaa madarakani zaidi ya miaka 20 basi nao wanataka kuwapo madarakani kwa mfumo huo wa Rais wa Maisha. Ni afadhali kuwa independent na kluacha milango yote wazi kuliko kujidai independent huku milango yako iko Urusi tu

Kwa sasa ambapo wanatafuta pa kushika baada ya mapinduzi ni bora waelekee urusi mpaka serikali zao zitakapokuwa stable. Wakaicha milango wazi hawa west watamanipulate internal issues na jupelekea counter revolution
 
Baada ya Ujerumani kutoa maelekezo kwa serikali ya Niger kua haitaki kuona Niger na Russia zikishirikiana la sivyo wao Wanafunga Ubalozi wao. Niger wamekuja na majibu kwa Germany.

Niger tackles Germany!

Germany demands that Niger stop relations with Russia, otherwise Germany will close its embassy and sever relations. This is not knowing General Tiani well.

He declares: Niger is no longer running
behind a country to continue to collaborate, if Germany wants to close its embassy, let it be so, we will not beg anyone. Whoever wants to get out, let him get out, we are with Russia.

Who needs Germany?
Europeans did not bring anything to Africa than exploitation of our resources , wars, terrorist ,and dictators.View attachment 2885352
😆
 
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hata kama mna uhakika kuwa wasomaji na wachangiaji wa kiafrika na Kitanzania huwa wanarukia ku comment kama watu waliokatwa vichwa, basi muwe na huruma japo kidogo kuliko na nyie kuendelea kuwageuza wenzenu wanasesere kwa kuwaletea habari za kupikwa huko X. Wanaharakati wa kiafrika mitandaoni wanaojidai kuongoza harakati za kumkomboa Mwafrika kwa kuzidi kumjaza ujinga Mwafrika mwenzao kwa visa vya kutunga. Mwafrika huyu aliyetoka kudanganywa kwamba alitokana na nyani, leo tena Waafrika wenzake wanazidi kumjaza matapishi kichwani.

Kauli ya German ni ya tangu mwaka jana, na ilitolewa baada ya mapinduzi wala siyo kwa ajili ya mahusiano ya Niger na Russia. Wapishi wa habari mmeona kumepoapoa mmeamua kuingia vyumba vya habari kwenda kupika habari mzitakazo ili muwachoreshe waafrika wenzenu.

Mbona Russia wanashirikiama na Ujerumani na wana ubalozi wao nchini Ujerumani, pia Russia wana Ubalozi nchini US na nchi karibu zote za Ulaya. Sasa German anataka ku achieve nini? Au mnawamwagia tu upupu waafrika wenzenu muwachore wanavyojipapatua kwa comments za 'Kijasili'?
 
Swala ni kwamba nini mkakati wa Niger kujiondoa ktk lindi la umaskini unaolikabili nchi hiyo toka ipate uhuru mwaka 1960 kutoka kwa Ufaransa.

Niger ni taifa masikini sana duniani ambalo limekuwa na mapinduzi mengi ya kujeshi lakini yote hayo hayajawahi kubadilisha maisha ya watu wake.

Waafrika wana tabia ya kipumbavu ya kutafuta visingizio vya kuhalalisha umaskini wao japo ukweli ni kwamba umaskini wao unasababishwa na wao wenyewe.

Huyo rais wa Niger aliyeongea hivyo sio muda mrefu utasikia amepinduliwa na atakuja mwingine ambaye naye atawageuka hao warusi na kurudi kuikumbatia tena Ujerumani ili angalau wapatiwe tena handouts ambazo kwa kawaida warusi waga hawatoi.

Kama waafrika hawawezi kubadilika na kuwa serious kwa kutambua kwamba wao ndio chanzo cha matatizo yao basi Afrika itabaki kuwa hivihivi kama ilivyo siku zote.
 
Back
Top Bottom