Jimbo la Texas linataka uhuru kamili kujitoa USA gavana wa Jimbo hilo anaendelea na mchakato huo wakati huo huo Biden amepeleka jeshi la Shirikisho huko Texas na mpakani mwa Texas...
Ukamatwaji huo wa Ovidio Guzman-Lopez ambao pia umetajwa kuihusisha Marekani kumesababisha machafuko maeneo tofauti kwenye Jimbo la #Sinaloa kutoka kwa makundi ya kihalifu na kusababisha kifo kwa...
UN iwe makini sana inapoajiri watu wa dini ile maana huwa hawaachi asili ya ugaidi, sasa imebainika humo kunao walikua mstari wa mbele kushambulia, na hii imechangia mataifa ya Magharibi kusitisha...
Hawa jamaa hawatanii meli ya mafuta inawaka moto muda huu huko red sea. Nadhani walijua kuwa baada ya kuwashambulia mara kadhaa Yemen wataacha michezo yao. Halo imekua tofauti.
---
Yemen's Houthi...
Wanaukumbi.
MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA HAKI YAIKUTA NA HATIA ISRAELI 🇮🇱
Mahakama ya Haki ya Kimataifa imethibitisha kwamba taifa la Israeli limevunja makubaliano ya vifungu vya mauaji ya kimbali...
Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli...
[emoji599]Rais Putin amefanya ziara ya kushtukiza katika jimbo la Kaliningrad linalozungukwa na Nchi za NATO hii imechukuliwa Kama onyo kwa NATO.
: President Putin visits Russian European exclave...
Wanasema siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.
Marekani na nchi za Ulaya ndio wachangiaji wakubwa wa UNRWA huko Gaza. UNRWA imekuwa ikiwasaidia wapalestina kwa kiasi kikubwa katika kugharamia...
Marekani imeendelea kujiimarisha kama muuzaji mkubwa zaidi wa silaha duniani baada ya Biden kutoa ruhusa Uturuki kuuziwa ndege za F-16 za bilioni $23. Ugiriki nayo imepata kibali kununua ndege...
Wapalestina takriban 90,000 walikua wameajiriwa Israel, ila baada ya HAMAS kuwaponza wakafurushwa, sasa hivi Wahindi wanafurika Israel kuchukua hizo nafasi.
===================
ROHTAK, India --...
Kama heading inavyojieleza Israel imeamua kukata mahusino yao na Elon musk..baada ya kuruhusu Internet ya Star link kutumika Gaza kwa mashirika ya misaada ya kibinadamu...
=======
Responding to...
Urusi wajifunze kwa ujinga wao wa kutaka kushikamana na mazombi wa dini ile...
Houthi militants mistakenly targeted a tanker carrying Russian oil in a missile attack on Friday off Yemen, British...
Kuna fukuto kubwa la kutoweka Amani duniani. Vita na tetesi za Vita zimetamapakaa duniani.
Eneo la mashariki ya kati ni la moto. Kila taifa sasahivi linajiimarisha kiulinzi. Dunia inapitia...
As the subject suggests, through the JF social media International platform, the government of 'South Africa', to debating the importance of replacing the current country's name to reflect the...
Habari zilizotolewa hivi punde wanamgambo wa Hamas wamekataa Ombi la serikali ya israeli na kusimamisha Vita kwa muda wa miezi miwili ili kutoa nafasi ya kubadilishana Mateka.
Naoma kila upande...
Mashtaka yaliyowasilishwa katika mahakama ya kimataifa ya ICC dhidi ya mauaji ya kimbari ya watoto na wanawake huko palestina yamepangwa kuanza kusikilizwa rasmi kuanzia tarehe 11 mwezi huu huko...
Hiyo ndio taarifa iliyopokelewa kwa furaha na nchi zote za Kiarabu
Kwamba katika swala la Mipaka Marekani yuko na Wapalestina na katika swala la Mataifa Huru Mawili pia Marekani wapo na...
Kiongozi Mkuu wa Hamas yuko mubashara Al jazeera tv akiongea na Dunia nzima
Amesema ICJ wanahimiza Vita isimame nasi tupo tayari kutii
Aidha amesema Gaza patakuwa ndio kaburi la Ndoto za...
China imeimbia Iran iwajibike kuzuia mashambulizi ya Wahouthi wa Yemen huko katika bahari nyekundu au vinginevyo uhusiano wao wa kibiashara utaharibika.
China ndiye mnunuzi mkubwa wa mafuta ya...
Habari wakuu.
Mwishonimwishoni mwa mwaka 2023 NATO walilalamika sana kwamba wanajeshi wa kujitolea wa Wagner waliokuwa nchini Ukraine alafu wakapelekwa Belarus walipotea ghafla mbele ya macho ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.